madaraka nyerere akiwa nje ya kibanda cha kupumzikia cha mwalimu butiama

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Huyu ndiye kiongozi pekee Tanzania aliyejua maana ya CHEO! CHEO NI DHAMANA! Hakutaka kumuingiza mtoto wake yeyote katika siasa! Kwani ni haki ya kila mtu, sio wengine wote. Hata kama alikuwa anakosea sometimes.

    ReplyDelete
  2. jamani tuseme yote,lkn mwalimu alikuwa binadam.hakuwa malaika lazima atakuwa na makosa yake.ukweli ni kwamba tuligalagala na watoto wa mwalimu km walala hoi wenzetu.sasa hivi ndugu yangu wa majina ni majina tu.mtoto wa jk utasoma nae wapi km baba yako mlalahoi.fursa sawa kweli wakati ule ilikuwa japo kwa wote.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...