jei zii na wenyeji wake wakifurahia jambo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. mamaaaaaaaaa mbavu zangu jamani huweeeeeeeeeee,waangalie majibaba wazima wanacheka tuu kwa kuwa wenzao wamecheka lakini hajue nini J zii amesema,haswa wa kushoto anaonekana KAMONGO kabisa domo kama chai JABA

    ReplyDelete
  2. Wewe unayejiita Bradleys naona unataka kuleta uzushi...umejuaje kuwa hawajamuelewa au hawajui alichokisema Jay zee? Na pengine anayeongea hayupo hapo kwenye picha hao wote wanamsikiliza hapo.
    Acheni kuponda just for the sake of it, grow up already!

    ReplyDelete
  3. KUMBE STEVE WONDER NAYE ALIKUWEPO NA MSAFALA WA JAY Z? HUYO HAPO KATIKATI SIYO KWELI STEVE WONDER? AMEANZA KUONA LINI JAMANI ANA ENJOY BONGO NA YEYE?

    ReplyDelete
  4. Huyo wa kushoto ni mkurugenzi wa Vodacom TZ Mr Romeo Khumalo kwa taarifa yako hajui kiswahili hata neno moja zaidi ya salamu

    ReplyDelete
  5. Nilidhani ni Joseph Kusaga au nimekosea?

    ReplyDelete
  6. jamani huyu baba wa katikati amefanana na STEVE WONDER HASA HIYO MIWANI, NIYA JUA AMA VIPOFU? NI MIYEUSI SANA KAMA ILE YA STEVE WONDER NI YEYE NINI?

    ReplyDelete
  7. Si utani naona na Kinje hakukosekana mmemuona lakini?anapiga makofi kiaina....

    ReplyDelete
  8. Da naona mambo yalikuwa mambo mwendo wa coca cola, fanta, sprite. Vipi tena bongo paka leo bado mnafagilia mambo haya. Au Coca ndio walikuwa wadhamini wakuu. kwiwkwiwkwiwi Alitakiwa apate Togwa, Maji ya madafu, Juisi ya ukwaju, MAchungwa, Maembe vitu fulani exotic halafu ndio utanzania wenyewe. Sasa Coca Cola wapi na wapi?

    ReplyDelete
  9. Huyo kibaraghasheikhea nyuma huko na Jay-z wapi na wapi?

    ReplyDelete
  10. Hahahahaha,yaaani mmenifurahisha na STEVE WONDER,Romeo kawa Steve?anyway kuna last week kwenye kituo cha radio cha Clouds F.M walikuwa wanaongelea picha ya JayZ,beyonce na Romeo anaonekana kabisa na anajulikana kuwa ni M.D wa Vodacom[T] Ltd,sasa sijui Fina Mango ana matatizo gani na Vodacom na natumai ethics za kazi yake ni bilabila kwake au hajui ethics za utangazaji.
    Kitu kiko straight forward anatangaza namuona Jayz akiwa na mkurugenzi wa kampuni fulani,mwenzake akamuuliza kampuni gani,akamjibu si kampuni yako{kajibu more than three times},kama alikuwa hataki kuzungumzia it would be better angeskip hiyo habari na kuongelea s'thing else.Fina Mango u r not proffesion,i think there's s'thing fishy going on
    Kama ni kusema thank you ni angalau tuipe BIG UP Vodacom [T] Ltd kwa kudhamini ujio wa JayZ.Stress free guys.......

    ReplyDelete
  11. mama yanguu weeeeeeeeeeeeeeeeee,kweli kabisa yani wabongo kwa kujipendekeza check hapo mijamaaa inajichekesha tu kwa sababu JIGGA amecheka,lol!!

    ReplyDelete
  12. Hivi huyo wa katikati ni kipofu? Anapiga makofi kama Ray Charles na kavaa miwani ya jua mchana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...