mwalimu nyerere na familia yake ikulu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. Bwana michuzi, Makongoro ni yupi kati ya hawa watoto?

    ReplyDelete
  2. Hey Mr Michuzi this kind thing like mwalimu or tanzania how we gonna discuss about our energy sytem is what we want on your blog. Some times i have a feeling their people using you to make them selfs know for their own reason. i dont see if we need to know thats mtoto wa joseph kusaga i know him personally but at the same sio everybosy knows them. second people like Cynthia just for example sio watu wa kuwekwa huku profesas people with good state of mind read this right. other blog dont have this kinda shiitwatu ni umbeya na mastory ya kishangingi everyday wadau wadau people even dare to mention other peoples name. well you didi a good job to tell watu not to curse big up for that and i can see its getting better but rember even you, you can make this better for posting things that can change Tanzania, Bongo we dont have utility for 12hrs everday things need to change i salute you web we had good times with you Ny

    ReplyDelete
  3. Makongoro ni huyo aliyekaa chini kulia wa mwisho kabisa...kuanzia nyuma waliosimama ni John,Anna Andrew,Yasinta(huyu ni mdogo wake Mama Maria). Chini waliokaa kuanzia kushoto ni Kwame(mtoto wa mdogo wake Joseph),Magige,Rose na Makongoro,aliyepakatwa na Mwalimu ni Madaraka

    ReplyDelete
  4. Inafurahisha sana kuona mwalimu alivyopenda kuishi maisha ya kawaida. Ona jinsi makongoro alivyo kaa ktk viwanya vya ikulu bila viatu kama walivyo watanzania wengi. Mungu amuenzi huyu mzee.

    ReplyDelete
  5. Anoy 5.10pm, next time andika kiswahili, inaelekea unataka kutoa maoni yenye msingi humu. Lakini lugha ya watu inakupiga chenga. Please this is just a suggestion you can write whatever language you wish to, but if you want people to read and understand your comments andika kwa lugha yetu. I'm not trying to insult you or your intelligence here.

    ReplyDelete
  6. Huyu alikuwa na watoto wangapi???

    ReplyDelete
  7. Sidhani nakubalina sana na mtoaji mawazo wa kwanza kwa vipengele vilivyoeleweka, lakini ni wazi lugha inaonekana ni ishu, siyo mbaya ukaufanyia kazi ushauri wa anony 18:26.

    Bless.

    ReplyDelete
  8. Anony 6:18:26PM, please avoid such comments next time you post anything on here as such comments like yours would stir abusive language that Michuzi is strongly trying to make thing of the past. Languge is just play of the tongue, whether it is broken or mis-spelt, as longer as the message is loud and received by the intended audience then the purpose is served. Judging from little but yet foreign language you have used, I'm not totally convinced you have a good command of english either, however your message was clear and sound. So what is the fuss all about? Kumuita mwenzio mjinga, hafikirii n.k. ndo inapelekea matusi maana mtu atajihisi anashambuliwa uelewa wake wa mambo ya dunia. Maoni si kupinga la mwenzako bali ni nguvu ya hoja kama msemavyo nyumbani. Kama una muda wa kuja hapa nadhani unamuda wa kutafakari uliyoandika na kuedit making sure no one would be provoked as a result of un-sensible click. Asante

    ReplyDelete
  9. Bwana Maendeleo, anoy 6.18PM hajamuita mtu yeyote mjinga, wala hajatumia lugha mbaya. Usianze mabo yatakayoleta lugha chafu humu. Sioni sentensi yoyote inayosema mwandishi wa kwanza katukanwa. Acha uchonganishi Maendeleo.

    ReplyDelete
  10. ukisikia WADAU, ujue Michuzi anashikishwa kitu kiidogo na hao wadau. Hujui kwamba watu wanalipia kila kitu ili mradi tu wafahamike na wapate umaarufu mjini? wamehonga magazeti ya sh 100, sasa wanamuhonga mpaka michuzi, eti anawaita wadau, afu wakitukanwa hao wadau wake anakuja juu na kututisha eti afunge au asifunge. kama hataki afunge, hatkumpigia simu kutufungulia blog. Watanzania acheni kujipendekeza, na waandishi wetu mna tabia mbaya sana sasa hivi ya kupenda kuhongwa vijihela ili msifie mambo, sasa ni aibu ulimwengu mzima unajua kwamba waandishi wa Tz mnahongwa na kupiga debe watu fulani, acheni mnarudisha nyuma maendeleo ya nchi.
    Michuzi nakuheshimu lakini tumeanza kukuhisi vibaya kwa kutuwekea mapicha kibao ya hao wadau wako. picha za msingi na maendeleo hutuwekei.
    Tunatoa ushauri, kama una hasira jinyonge lakini tutaendelea kukushauri, na ukidhani tumekutukana, utakuwa mwongo, sisi hatukutukani kwani tunakuheshimu na tunaheshimu kazi yako.

    ReplyDelete
  11. mimi nakubaliana na baadhi ya watu, kwamba ungekua unapenda kuweka zaidi picha zinazohusu Tanzania na maendeleo, na sio picha za watu wa kawaida kwenye hii jamii, maana unavoweka hivyo matusi hayataisha kabisa kwenye hii blog

    ReplyDelete
  12. Mama uzazi wa mpango upo? inaelekea nyerere alikuwa na ugomvi na mama uzazi wa mpango.Watato wote hao halafu wanalingana vimo utafikiri walizaliwa siku moja au shauri ya lishe duni!

    ReplyDelete
  13. blog ni ya michuzi anafanya anachokitaka huelewi nini?kaanzishe yako.michuzi unatusuuza roho sana kwa picha zako huku sayari ya mars

    ReplyDelete
  14. Ikulu alitakiwa aingie mtu kama nyerere na familia yake kama unavyooiona hapo watoto wamekulia huko hata maana ya kuiba hawajui,sio lowassa ashaibaa weee na watoto wake wameshavimbiana matumbo mnaenda kuwaweka kwenye sehemu ya kuchukua bila hata kuumiza kichwa.

    ReplyDelete
  15. AMA KWELI DUNIA HII MBAYA SANA MWANGALIE ANA ANACHEKA ANAFURAHI LAKINI LEO HII UKIMUONA ANA HUYO HUYO AMENYONG'ONYEA SANA NI KAMA VILE ANA JAMBO KUBWA NA ZITO LINALOMMALIZA MWILI WAKE NA USO NDIO KABISA ANAONEKANA ANAZEEKA TUU KUNA NINI KTK HII FAMILIA MBONA WOTE WAKO WANONGE SANA ANGALAU MAKONGORO KIDOGO AMECHANGAMKA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...