baba wa taifa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 31 mpaka sasa

  1. HAPA KWELI KAFANANA NA MATARE NYERERE, KUANZIA KICHWA SHEPU YA NYWELE NA UTOSI.

    ReplyDelete
  2. Je hili ndo lililokuwa vazi letu la kitaifa? mana kwakweli si kama wenzetu wa Nijeria, Senegali, Gana, na nchi zote za Afrika wana mavazi ya kitaifa. Traditional Wear. Sisi wabongo sijui ndio kanga vazi la utamaduni kwa wanawake na kanzu vazi la kitamaduni kwa wanaume? Lakini alovaa hapo juu MWALIMU NYERERE ni poa ila naomba jibu ni vazi la namna gani hili? Je ndio lililokuwa la kitamaduni enzi hizo? au?

    ReplyDelete
  3. Kwa kweli vazi limempendeza sana! Nategemea siku moja nami nitakuwa Rais wa Jamhuri ya Mwungano wa Tanzania, na nitaliongoza Taifa letu vizuri na kupata sifa nyingi sana na kukumbukwa na watanzania wote. Mungu Ibariki Tanzania na sisi watanzania wote. The Very Revd. EVM

    ReplyDelete
  4. michuzi vipi bwana kuna mgao wa umeme nini? mbona comments hazi postiwi kabisa? Unadhibiti kiasi hicho bwana, siunajua mtu hataangalia saaanaa kama komenti ni zile zile na picha ni hizo hizo sana sana mbili ama tatu ndiyo zimebadilika...acha bwana komenti ziingie watu tusome tucheke tufurahi...komenti nyingi tu najua zime dhibitiwa, unless umeme umekatika lakini sidhani kama photo point haina generator?

    ReplyDelete
  5. this dude was very smart you remember back in the days, he changed all tanzanians ETI ZIDUMU FIKRA ZA MWENYEKITI WA CCM watu tukoo ZIDUMUU, then he goes MTU/MFANYAKAZI MWENYE NYUMBA YA KUPANGISHWA MUOGOPENI KAMA UKOMA watu tuko oyeee,then anamalizia BEPARI NI ADUI WA HAKI sasa leo tuna anza kujikongoja lakini huyu jamaa aliturudisha nyuma sana Kaka MICHUZI enzi zake huyu bwana ingebidi tukuogope kama ukoma maana alikuwa anasema MFANYAKAZI WA SERIKALI HAPASWI KUWA NA MISHAHARA MIWILI HUYU NI ADUI WA MAENDELEO MUMUOGOPENI KAMA UKOMA... damn this dude was something else mnasemaje wadau?

    ReplyDelete
  6. This guy was pure socialist tena kama Sokoine angekuwa rais wa awamu ya pili na ya tatu Mrema nadhani awamu ya nne ingebidi mzee ngumbare mwiru awe rais maana hizi number sijawahi kuona, pure wajamaa sijui walisomea Russia, ama North Korea?

    ReplyDelete
  7. SASA KWA HUU UTARATIBU WA KUCHUJA MAONI YA KISHENZI KAKA MICHUZI TUNAOMBA UTURUDISHE KULE NYUMA ULIPO ISHIA NA KARENDA ZA MREMBO WETU CYNTHIA, TULIKUWA TUNA ENJOY KUMWONA LAKINI TULIKATILIWA NA MANENO YA KEJELI NA MATUSI NADHANI KWA UTARATIBU HUU TUNGEPENDA KUIMALIZIA ILE KARENDA ULIYO IANZA KUONESHA ASANTE SANA TUTASHUKURU KUMWONA BEYONCE WETU NA SISI.

    ReplyDelete
  8. Tunakukumbuka daima baba wa taifa letu la Tanzania, uliyeshinda nafsi ukajitolea kuwakomboa Watanzania toka kwenye mikono ya wakoloni. Uliditiki kusema kuwa Uhuru wa Tanganyika pekee hauna maana ikiwa sehemu nyingine ya bara la Afrika liko chini ya wakoloni. Ulikubali raslimali za nchi yako zitumike kwa ajili ya kuwasaidia wapigania Uhuru wa Msumbiji, Angola, Zimbabwe, Namibia na hata Afrika Kusini. Nani kama wewe hapa duniani? Kwakweli hakuna. Mwaka 1960 ulidiriki kupenyeza makala ambayo iliandikwa kwenye gazeti la Observer ukupinga uanachama wa Serrikali ya kibaguzi ya Afrika Kusini kwenye Jumuia ya Madola, uliendelea kuwapa sapoti wapigania uhuru wa ANC na PAC mpaka uhuru ulipopatikana mwaka 1994. Mwaka 1966 ulilaani kujitangazia uhuru kwa Rhodesia kulikofanywa na Ian Smith na kuongoza dunia kuiwekea vikwazo serikali hiyo ya kibaguzi mpaka Uhuru ukapatikana mwaka 1980.

    Kama siyo choyo cha mabeberu na watu wasiotutakia mema kweli ulikuwa unastahili kupata ile tuzo ya amani ya "NOBEL". Lakini hata wasipokupa, tayari Askofu Justin Samba ambaye naye ni marehemu sasa alikwisha anzisha mchakato wa kutaka itamkwe kuwa wewe ni "Mwenye Heri". Hatua ya kwanza kwa ajili ya mtu kutangazwa kuwa ni mtakatifu kwa taratizu za kanisa katoliki. TUTAKUKUMBUKA

    ReplyDelete
  9. HIVI WABONGO LINI MTAELIMIKA? WEWE JAMAA HAPO JUU, UNAANZA KUOMBA PICHA YA CYNTHIA TENA YA NINI? MBONA MJINGA SANA WEWE, MTU NI ACCESSORY TO MURDER NA UMEONA KABISA HANA WAFUASI WENGI HAPA, MAONI YAKE YOTE KARIBU MABAYA. UNATAKA ALETWE PICHA YAKE TENA YA NINI. NYIE NDIO WATU MNAOPENDA KUPROVOKE WATU, NA KUTAKA KUMHARIBIA MICHUZI BLOG YAKE.
    MHESHIMIWA MICHUZI NADHANI UMESHUHUDIA MWENYEWE ULIPOWKA PICHA KAMA YA HUYU CINTYA NDIO KAMA ULIFUNGULIA BWAWA NA MATUSI. USIWEKE TENA. HATA YULE SHENA SINARE ALIVYOJIINGIZA KUTUMIA BLOG YAKO CHINI YA MATANGAZO YAKO YA MSIBA MKUU WA NKYA NA MAZULA. KWA KUWEKA MWENYEWE NA PIA KUTUMIA WATU WAKE KUMWAGA MAONI YA UONGO NA KASHIFA.
    TAFADHALI MHESHIMIWA MICHUZI, HATUTAKI HAWA WATU HUMU NDANI YA BLOG YAKO. WAKOME. WAENDE WAKAPELEKE HABARI ZAO KWENYE MAGAZETI AU POLISI, SIO KUTUMIA BLOG YAKO. EBOH!

    ReplyDelete
  10. Hongera sana Kaka Michuzi kwa kweli Kazi unayofanya ni nzuri na tunaomba Uendelee na Moyo huo huo Hicho ndio kitu ambacho watu wengi tulikuwa tunakisubiri kwa Hamu kubwa sana Tungeomba pia utupatie picha zingine kama zitakuwepo kwenye kilele cha kumbukumbu za Baba wa Taifa.

    ReplyDelete
  11. HUYO WA KWANZA KABISA KWENYE MAONI HAAYA NDIO MJINGA KABISA.
    ATI MWALIMU NYERERE KAFANANA NA MATARE NYERERE, WEWE UKO HAPA BONGO AU UKO SAYARI YA NGAPI.?
    MATARE NYERERE SIO MTOTO WA DAMU WA MWALIMU NYERERE. NI BABA YAKE MKUBWA NA NI KWAMBA NDIYE ALIYEMKUZA NA KUMLIPIA SKUL FIZI. NA KUKULIA NA KUISHI IKULU.
    AU LABDA HUKUJUA NDIO WEWE ANAYEKUKULA SASA NINI? NA KAKUDANGANYA MWALIMU JULIUS NYERERE NI BABA YAKE? HAPANA DADA UMEPOTEA NA NAFIKIRI NI WENGI KINA DADA WANAPOTEA KUFIKIRI HIVI.
    HUYU NI MTOTO WA JOSEPH NYERERE AMBAYE ALIKUWA MDOGO WA DAMU WA JULIUS NYERERE.

    ReplyDelete
  12. michuzi mbona nimeweka comments facts za baba wa taifa enzi zake za ZIDUMU FIKRA ZA MWENYEKITI WA CCM na maelezo yaliyo na ukweli kabisa huja post? ama nimekosea? I thought that is the fact this dude baba wa taifa alikuwa hivyo na kiasi furani tulibakia nyuma kimawazo, post basi tusikie wadau wanasemaje na comment yangu?

    ReplyDelete
  13. Bra i feel you kikwelikweli,currently nipo chuo hapa tu bondeni sauz, and looking at your blog braza i could never be more proud of my country,yan its like i'm there in the thick of actions,keep it up kaka we are truly enjoying it

    ReplyDelete
  14. Wewe ANOY hapo juu kudogo,sasa kwani hawa wengine wamempa kitu michuzi kuweka picha zao? kuna ubaya gani kama yeye michuzi anayo calender ya CYNTHIA asiiweke kama anavyo fanya KUWEKA PICHA za wengine? kama wewe anoy hapo juu hupendi basi sisi tuna penda hizo PICHA ZA HIYO calender, so it is up to michuzi to figure out if he wants to post them or not, na kwa taarifa yako this time hatuta ona comments za matusi maana comments zote zita kuwa filtered so tulia kijana acha tupewe uhondo, usifikiri kila picha humu zinapendwa lakini kwa mtindo huu wa kuzichuja COMMENTS ZA MATUSI zote zitapendwa tu. Michuzi sioni sababu ya huyu dada mrembo kutoji advertize herself hapa kwenye blog ili wale wasiyo mjua wamjue na kama karenda watazipenda watajalibu kuwasiliana na wewe ama kuja photo point kuzinunua. anoy hapo juu kidogo nadhani umenielewa na sasa tumwachie mwenye blog MICHUZI adisaidi mwenyewe kulikoni?

    ReplyDelete
  15. bila shaka hili lingefaa kuwa vazi la Taifa.

    ReplyDelete
  16. Michuzi nakushukuru binafsi kwa moyo wako wa pekee kufanya kazi hii ngumu. Pole sana kwani nadhani unafanya kazi ya ziada ya kuchuja maoni bila malipo. Ni jambo jema lakini kwa ushauri tu jaribu kutafuta njia nyingine ya kukabiliana na tabia mbaya za watu waliowachache bila ya kulazimika kusoma maoni yote. You need your life back somehow. Binafsi ninarespect sana watu kama wewe na kwa njia hii tungeweza kuendelea ktk nyanja mbali mbali maana maendeleo ya nchi yanaanzia kwenye tabia za individuals. Mfano "mtu mmoja mjinga akijisaidia kwenye kituo cha basi na kwa bahati mbaya mtalii akapita na kuona, habari kwamba watanzania (Si mtanzania) ni wachafu kiasi cha kujisaidia kwenye vituo vya mabasi zitaenea na hivyo kupelekea watalii wengine hata kama ni wachache kususa hivyo kupelekea kushuka kwa idadi ya wageni". Nawaombeni watanzania wapenda maendeleo tutambue mchango wa bwana michuzi ktk kutupatia habari kwa njia ya picha na tumsaidie kuwakemea hawa watu wachache wanaomtukana na kumkosea heshima na kibaya zaidi kufukuza wadau(kama yeye awaitavyo) wake. He deserves more respect than anything else. Ni wangapi tumeweza kutumia taaruma zetu kwa manufaa ya wengine?. Maskini wa mungu Cinthia katumia taaruma yake kuitangaza nchi yake, katukanwa. Kijana Hasheem ndo kwanza anapanda ngazi ya kwanza, matusi yameshamwandama. Ni mara yangu ya kwanza ninaandika na kuchangia hapa na labda ya mwishi nikitukanwa. Kama umesoma haya na kumaliza, nakushukuru sana maana wewe unajari mchango wa maendeleo utolewao na watu. Please note, I am by all means neither related nor met with the people I have mentioned, however I have been fascinated by their dedication towards enforcing they believes.

    ReplyDelete
  17. MICHUZI REKEBISHA HIYO PICHA YA JAY Z AMBAYO AMEVAA LONG SLEEVES YENYE BENDERA YA TANZANIA TUNAJARIBU KU CLICK TUWEKE MAONI KAMA PICHA ZINGINE INASHINDIKANA.PICHA YENYEWE UMEIBATIZA JEI ZII NA MAANDISH YA CHINI YAKE YANASOMEKA jei zii na bendera yetu Asante.

    ReplyDelete
  18. www.mwalimunyerere.org

    ReplyDelete
  19. wewe MIZZOU huna akili kweli, na kama una akili utakuwa umesha-judge for yourself Michuzi will not put Cinthya's picture again, maana ni kama anakaribisha matusi hapa maana hakuna anayeongelea vizuri huyu dada, maoni mengi ni mabaya dhidi yake. Na kwanini niwewe unayen'gan'gania picha au kalenda yake iwekwe. Acha mambo ya kijinga, hapa ongea ya maana kama vile ulivyoomba msamaha kwa michuzi kuwa wewe ndio ulikuwa mmoja wa watu wenye manene machafu hapa na pia kutumia majina feki hata ukajiita wewe MICHUZI. face it you will never be like Michuzi. NEVER.

    ReplyDelete
  20. HOW OLD WAS HE HERE?

    ReplyDelete
  21. Anony 6:19:06PM, please avoid such comments next time you post anything on here as such comments like yours would stir abusive language that Michuzi is strongly trying to make thing of the past. Languge is just play of the tongue, whether it is broken or mis-spelt, as longer as the message is loud and received by the intended audience then the purpose is served. Judging from little but yet foreign language you have used, I'm not totally convinced you have a good command of english either, however your message was clear and sound. So what is the fuss all about? Kumuita mwenzio mjinga, hafikirii n.k. ndo inapelekea matusi maana mtu atajihisi anashambuliwa uelewa wake wa mambo ya dunia. Maoni si kupinga la mwenzako bali ni nguvu ya hoja kama msemavyo nyumbani. Kama una muda wa kuja hapa nadhani unamuda wa kutafakari uliyoandika na kuedit making sure no one would be provoked as a result un-sensible click. Asante

    ReplyDelete
  22. naona wewe anoy wa 6:19 sita ongea mengi maana MAENDELEO amejibu kila kitu, nafikiri mjinga ni yule anaye jugde watu watakavyo amua kama wewe ulivyo kwisha jugde kwamba MICHUZI HAWEZI kuweka picha ya CYNTHIA tena! Heee wewe anoy unamkataba na michuzi mpaka usema kwa command ETI michuzi hawezi kuweka picha ya huyu dada? Najua wewe ni mmoja wa wale wasiyo mtakia mema Cynthia una donge zito sana moyoni, mbona hujiiti wewe mwenyewe mjinga kwani umekwisha ambiwa MATUSI SASA HIVI YANA CHUJWA SASA IWEJE HUYU CYNTHIA BEYONCE WETU ATUKANWE NA NANI? hujui kwamba kuanzia sasa huoni yale matusi matusi tena? MICHUZI HEBU JARIBU KUMWELIMISHA HUYO KAKA NADHANI HAJUI KAMA UNACHUJA COMMENTS any way if you wanna get a taste nitukane uone kama michuzi ataipost hiyo message?
    Mimi kama mwana blog nina haki ya kumwomba huyu bwana PICHA YOYOTE NINAYO IPENDA KAMA WENGINE AMBAO WAMEFANYA na ningekubaliana na hoja yako kabisa iwapo matusi yangrkuwa yanaingizwa ndani ya hii blog sasa hivi lakini wewe kaka sijui dada sasa hivi hakuna matusi humu tena fanya upembuzi wa kina usikurupuke tu na kuanza kuita watu wajinga kumbe wewe ndiyo unajichora kabisa. Kuhusu kutukana hapo nyuma sijui nikwelezeje umeona hata comment moja nimetukana? yaliyo pitwa si ndwele tugange yajayo...Michuzi tunaomba/ninaomba karenda kaka weka ni enjoy mafanikiyo ya mrembo wetu. Kafanya kitu kikubwa anastahiki sifa.

    ReplyDelete
  23. wewe anon 6:19PM mimi nafikiri utakuwa una issue binafsi na cynthia,wale woooote wanaomtukana cynthia ni upuuzi mtupu ETI kwa sababu kaka yake alimuua mtu.thats some bullshit cynthia hausiki na hayo masuala na kwa taarifa yako kama MIZZOU alivyosema cynthia beyonce wetu anapendwa saana tu ni wewe na ndugu zako mnaoona mumtukane lakini haitasaidia yeye anarepresent tanzania na watanzania wengi wanamsapoti.

    kwa sababu wewe humpendi endelea kutompenda sisi wengine tunamuomba kaka michuzi atudodoshee picha kadhaa za kalenda ili tuweze kuiona kwa watu ambao hatuna na tujue jinsi ya kuipata hapa bongo,kama inabidi tutakuja photo point kuzinunua,anafanya kazi nzuri inabidi apewe sifa zake wenye uchungu wajimyomge kama anon 6:19PM

    ReplyDelete
  24. cynthia anastahili sifa kubwa na kaka michuzi tunaomba utuongezee picha za cynthia na tutapataje kalenda kwa wale ambao hatuna krediti kadi?au naomba kontacti za cynthia basi

    ReplyDelete
  25. Hivi nyinyi wengine hamna cha kuongea kila siku cynthia, cynthia ... ndo maana waganda na wakenya wanawaona watanzania akili hamnazo

    ReplyDelete
  26. HUNA HATA HAYA KUMFANANISHA CINTHIA NA BEYONCE...GET A LIFE, HUNA MAANA, MAONI YOTE YA CINTHIA, YAMEONEKANA, NA ASILIMIA KUBWA YA WATU EXACTLY WHAT THEY THINK OF HER.

    ReplyDelete
  27. WARNING,
    MKISONA ANY COMMENT ABOUT CYNTHIA MASASI...MSIIJIBU! NI YEYE MWENYEWE, ANAJITAFUTIA UPOPULAR.

    ReplyDelete
  28. wee kichaa nini! unafikiri kila mtu anamchukia Cynthia! mimi sijamzoea but niko impessed na struggle zale za maisha yake yeye! so if yuo dont have nothing to share hapa kalale.

    ReplyDelete
  29. MICHUZI HEBU TAFUTA NA UWEKE PICHA/MADA YA MAANA MFANO:GLOBAL WARMING INAYOTISHIA AMANI DUNIANI;LET PEOPLE DISCUSS ON THAT RATHER THAN KUJADILI HUYU KAFANYA NINI,YUKOJE,TUNAJISHUSHIA HADHI WATANZANIA!

    ReplyDelete
  30. Kweli kabisa, mimi nam-support asilimia 100 anonym hapo juu wa 01.11.Unakuta mtu mzima anakaa kwenye blog kuongea UPUUZI! na nina maana UPUUZI!simply because haonekani na hakuna atakayejua yeye ni nani;hivi roho haikusuti kweli baadae unapombonda mtu;au kuamaua kumchafulia mtu sifa yake kwa sababu ya chuki zako binafsi?? mimi i thought blog k.m hizi ndiyo ingekuwa kuelimishana;tuambizana mambo ya dunia yanakwenda vipi;news gani za ku-share;what's latest on the market kwa walio majuu au nchini etc..etc..Lakini watu si hivyo!! hivi mtu unafikiri kumuanika mtu kwenye BLOG hata k.m unachosema ni cha kweli;unadhani ndiyo utambadilisha?? afterall who are you to judge other people?? wewe k.m mtu mama yake mzazi alimshindwa, wewe je utayaweza??angalia maisha yako binafsi kwanza;toa BORITI kwenye jicho lako kwanza kabla haujamkagua mwenzio CHONGO... ushauri wangu;binadamu jamani ni lazima tupendane;mbona maisha yenyewe mafupi sana;hivi kuna sababu ya kuchukiana kweli??;tupendane;tusaidiane;tuelimishane lakini kwa upendo siyo kupikana majungu.Ndugu Michuzi,mimi nakushangaa sana kukubali au kuruhusu watu kuwachafulia watu wengine na wewe unaona sawa tu;ndiyo kwanza unaweka picha za watu ili mradi upate umbea wa leo unasemaje;weka mada za maana;za kisomi zitakazochangamsha akili.Lakini usiruhusu watu kutoa kashfa juu ya watu wengine na hukemei hali hiyo;matokeo utaonekana wewe ndiyo unayeandika yote hayo.Hayo ni maoni tu.Be blessed!

    ReplyDelete
  31. KWELI KABISA;I'M IMPRESSED BY THE ABOVE ANONYM;KUNA WATANZANIA WENYE AKILI NA KUONA MBALI.MICHUZI WITH THE ABOVE ADVISE,YOU SHOULD SERIOUSLY CONSIDER THIS OPTION OR ELSE YOU'LL FIND YOURSELF IN BIG TROUBLE,WATU WATA KU-SUE KWA KUWACHAFULIA MAJINA;MJINI HAPA SHAURI YAKO!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...