nyumba ya milele ya mwalimu kwa nje

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Ooh men!
    U don't know whtat u have, untill u loose it!
    Alikuwa na mabaya yake kama mtu wa kawaida, lakini kwa mazuri yake....We need him specially NOW!
    Tanzanian we r not recognize or legallize katika nchi yetu wenyewe!
    Ni wenyewe kwa wenyewe na hela yako tu!

    ReplyDelete
  2. Wewe Michuzi Fala nini? Unaweka tangazo la kusaidia watu wa Bush wakati watu wako wanakufa na njaa, Kwa nini usiweke Tangazo la kuwasaidia wabongo wenzako?

    ReplyDelete
  3. Ukitaka kujua Mwl Nyerere ni nani toka nje ya Tanzania kuna waafrika hawaijui Tanzania ila wanamjua Nyerere. Ni lifika Bradford university Uingereza vitabu vya nyerere vinaheshimika. Wale wanaompinga nitawakumbusha kitu kimoja unapofanya mengi makosa uwepo, usipofanya kitu huwezi kukosea, Mwenyezi Mungu akupe rehema za milele.

    ReplyDelete
  4. Nyerere was True stateman,I wonder if we will get such leader!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...