jumba la ekstelekomu huaz ambapo zamano machinga walijaa kila pembe na sasa kweupeeeee

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Michuzi hicho ulichoandika hapo ni kimatumbi?

    ReplyDelete
  2. MICHUZI TUPE PICHA ZA MISIKITI TUMECHOKA NA HAYA MAJENGO. NAOMBA UNITUMIE PICHA ZA MISIKITI MBALIMBALI BONGO TAFADHALI!

    ReplyDelete
  3. Wee Mtindiga hapo juu, usituletee uislamu wa siasa kali humu. Mambo ya misikiti ndio nini? mbona hujasikia mkristo akiomba awekewe picha ya Makanisa?. Ukitaka mambo ya misikiti si uende Saudi Arabia au Afghanistani. au fungua blog yako ujaze hiyo misikiti yote ya humu duniani

    ReplyDelete
  4. Mtindiga kweli huyo shenzi type UNATAKA PICHA ZA MISIKITI YA NINI HUMU KWENYE BULOGU? Kweli mbona hujaona Mkristo akiomba picha za Makanisa? Nenda Baghdad au fungua bulogu yako. Usituletee mambo ya ajabu hapa kama alivyosema mzalendo mwenzangu hapo juu unataka kuleta mambo ya uislamu wa siasa kali hapa ili ajenda ihamie kwenye kujibizana kuhusu dini, uwaprovok watu, mumharibie Michuzi bulogu yake. Kama ndio nia yako hautafanikiwa wewe kaa chonjo tu.

    ReplyDelete
  5. Huyo jamaa mrugaruga kweli yaani bado ana mambo ya kizamani ya kuleta udini.Kama angekuwa mstaarabu basi angeomba picha za misikiti,makanisa na za sehemu mbalimbali za kuabudia.Anyway TZ hatuna udini koma wewe dada hapo juu saa 1:09.

    ReplyDelete
  6. Taofiq wa Ohio-Columbus vipi ndugu yangu waulizia picha za misikiti? unataka kuja kutulipua nini sheikh? kwa taarifa yako amie sisi Watanzania siku hizi hatuna tena siasa kali kama za Wasuni na Washia wa Iraq na kwingineko ati..twaishi kwa amani na upendo hapa bila kujali itikadi ya mtu ati..pole sana kaka ulizia picha zingine za masuala ya kimaendeleo amie...siyo masula ya udini kaka, dini ni imani binafsi ya ntu atii na kila ntu anao uhuru wa kuabudu na kufuata misingi ya dini apendayo sheikh!!.

    ReplyDelete
  7. kila mtu humu ndani ana haki ya kuomba picha yoyote ile anayotaka na suala ni kwa michuzi either aweke au asiweke, kwani nyie mmekatazwa kuomba hizo picha za masinagogi ( makanisa ) ?? pumbavu nyie msiokuwa na akili, ombeni na mtapewa ( nadhani wenyewe mnaamini hayo maneno pia yapo kwenye kitabu chenu mnachoamini ) sasa na hapa naona mnataka kuyageuka maneno yenu !! hahaaahaaa, sishangai sana maana nyie ndio wenyewe kwa wenyewe kugeukana !!!! Na mie pia michuzi naomba picha ya misikiti ikiwezekana pia na maimamu wa misikiti !! na nyie ombeni picha za masinagogi ( makanisa ) yenu !!!!!!!!!!!!!!!!!! sh!t

    ReplyDelete
  8. wewe hapo juu saa 8:43 ovyo tupu huku akilini mwako, kwani umesikia hii website ni ya kuonyesha misikiti au makanisa,?

    ReplyDelete
  9. Ma anony 1.09 na 8.43 PM hamnazo.

    ReplyDelete
  10. Jumba kama hilo linalilia umeme!
    Nuklia: uranium na utalaamu tunao!
    Mionzi ya Jua tunayo!
    Upepo tunao!
    haja ya kuwa na umeme tunayo!
    Sababu yz kutaka umeme tunazo!

    Futilia mbali umeme kwa njia za maji: Umahiri wa kuleta mvua hatuna, hata kama tukinda kuutafuta uchawi wa namna hiyo huko Asia ya Mashariki ya mbali!

    Mwenye kujidai kuleta mvua ni mchawi! Ikiwa kuna uchawi wa namna hiyo, basi kuna siku na uwezekano wa kutumia uchawi huo huo kama lethal weapon of mass destruction kuifanya nchi tusiyopenda ife kwa ukame! Ama sivyo?

    ReplyDelete
  11. Sahihisho hapo juu:

    Jumba kama hilo linalilia umeme!
    Nuklia: uranium na utalaamu tunao!
    Mionzi ya Jua tunayo!
    Upepo tunao!
    Haja ya kuwa na umeme tunayo!
    Sababu za kutaka umeme tunazo!

    Futilia mbali umeme kwa njia za maji: Umahiri wa kuleta mvua hatuna, hata kama tukienda kuutafuta uchawi wa namna hiyo huko Asia ya Mashariki ya mbali!

    Mwenye kujidai kuleta mvua ni mchawi! Ikiwa kuna uchawi wa namna hiyo, basi kuna siku na uwezekano wa kutumia uchawi huo huo kama "lethal weapon of mass destruction" kuifanya nchi tusiyopenda ife kwa ukame! Ama sivyo?

    ReplyDelete
  12. Wewe, zamaniwaliniitamchawiwamvua,
    Kama nikileta mvua yangu haitakufikia wewe!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...