huyu ni steve nyerere msanii ambaye kajipatia umaarufu (na kula) kwa kuiga sauti ya mwalimu kwenye hafla mbalimbali zikiwemo za kitaifa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Bwana Michuzi achana na huyu bwana anayetaka kujifanya msomi na majigambo mengi.Sisi tulio wengi ndani na nje ya Tanzania tunashukuru sana kwa jitihada zako za kutufahamisha mambo mbali mbali yanayoendelea huko nyumbani kwa kupitia picha na mambo mengine...Tafadhali usimjali huyu bwana wewe endelea na blog hii bwana na Mwenyezi Mungu akubariki wewe na familia yako.Huyu bwana kama anachukizwa na yote ayaonayo ndani ya blog hii basi atuachie sisi tuendelee na blog yetu....Asante sana bwana Michuzi

    ReplyDelete
  2. JAMANI SIKUJUA KUMBE HATA NANCY SUMARI ALIPENDELEWA KWENYE MISS WORLD SI CHOCHOTE?

    Miss World upendeleo mtupu - Wema

    2006-10-12 09:35:09
    By Somoe Ng?itu


    Wakati mrembo wa Tanzania, Wema Sepetu, akidai kuwa upendeleo umejaa katika mashindano ya urembo ya dunia, Kamati ya Miss Tanzania imesema kuwa haijakata tamaa kutokana na kutimiza malengo yake ya hapa nyumbani.

    Wema alisema kuwa alikwenda katika mashindano hayo kama mshindani na alijitahidi kushiriki katika mashindano yote ya awali katika kuhakikisha anajiweka katika nafasi nzuri lakini bahati haikuwa yake.

    Alisema kuwa hata mrembo wa Angola ambaye ndiye alitwaa taji la Malkia wa Afrika lililokuwa linashikiliwa na Nancy Sumary hakuwa na mvuto ila kilichomsaidia ni baadhi ya majaji walioshiriki walikuwa wanatoka Angola.

    ”Nilijitahidi kadri ya uwezo wangu, na sidhani kama nina mapungufu yoyote ila naamini kuwa katika mashindano yoyote kuna kushinda na kushindwa,” alisema Wema.

    Aliongeza kuwa pia alijitahidi kutangaza vivutio vya utalii na utamaduni wa Tanzania kwa kugawa bendera na fulana zenye bendera ya taifa na wanyama mbalimbali.

    ReplyDelete
  3. We Mizzou una matatizo gani? Ni wapi umeona habari ya Wema Sepeu kwenye picha hii? Na hata hiyo habari uliyo paste hapo ni wapi wanasema Nancy alipendelewa? Soma habari vizuri kabla hujaanza kutunakilia vitu visivyohusiana na picha iliyopo.

    ReplyDelete
  4. Huyu Mizzou nilimstukia toka alipokuja na point ya JK kuongea na Bush achunguze mauaji.
    jamaa kichwa kimejaa makamasi anahitaji msaada haraka sana

    ReplyDelete
  5. Ugali umenasa kwenye meno.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...