hii ndiyo siku uwanja wa ndege dar ulipopewa rasmi jina la mwalimu, na hivi majuzi wameondoa 'mwalimu' na 'k' ili utajike kirahisi uwanja wa ndege wa kimataifa wa julius nyerere

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Huyu Professor Mwandyosa ni hazina kubwa ya taifa kama makamu wa rais asingerikuwa anatoka Zanzibar basi huyu jamaa angefaa sana kuwa makamu wa rais ama hata waziri mkuu. Is a hard working man

    ReplyDelete
  2. Jamani hicho kiubao nomaa!!!

    ReplyDelete
  3. Haya ndio matatizo ya watu kushauriana na wake zao masuala yanayohusu Taifa. Ni upuzi kubadilisha jina kila baada ya miezi mitatu. Tuambiwe vigezo vilivyotumika kuchagua jina la mwanzo badala ya sasa kuambiwa tu vilivyotumika kuliona halifai. Ni matokea ya watawala kufanya mambo kwa kutaka sifa bila kuangalia madhara mengine. Kueni sasa nyie kina Mramba na Mwandyosya.

    ReplyDelete
  4. Ninakubaliana na Mizzou kuwa Prof. Mwandosya ni hazina kubwa ya Taifa. Lakini ni wewe nami (watanzania) ndiyo tunauwezo wa kumfanya awe kiongozi wetu. Vile vile 2015 atakuwa in his 60s, atakuwa bado na nguvu za kutosha tu. Ninajuwa mtu kama Lowassa naye anawania kuingia ikulu, na inaonekana ameisha anza kampeni zake.

    ReplyDelete
  5. Mizzou kweli ume reform, kumbe unaweza kuwa na mambo ya maana ya kusema ukiamua sasa kipindi kile ilikuwaje au msuba kwa sana?

    ReplyDelete
  6. Jamani msimuhalibie nyie wana blog mwandosa. Mwaka 2015 ni mbali muno msianze sasa hivi mtasababisha mzee wa watu apate matatizo jamani mhache afanye kazi kwanza sasa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...