taifa la kesho (leo?) likisubiri usafiri manzese

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. these kids look so cute and innocent. they all seem to know the meaning of ujamaa. Dala dala ikija, itubebe wote au sivyo watuache sote. They really look so cute!

    ReplyDelete
  2. Michuzi ukipiga picha za watoto wa watu hivyo bila ridhaa, ulaya utafungwa mpaka jela ibomoke !

    ReplyDelete
  3. HIVYO NYIE HIZO SURA ZINATUAMBIA NINI? NA KUTUFUNDISHA NINI CHAP CHAP?
    PLEASE KIKWETE SIO WACHEZA MPIRA PEKEE NDIO WANAHITAJI USAFIRI.
    HAWA WATOTO JE?
    HATA KAMA WANANGOJA SCHOOL BUS YA PRIVATE, JE NI WOTE?
    WHAT CAN YOU AND ME DO ABOUT IT?
    NANI ATASIKILIZA HII SAUTI YA WANAFUNZI NA USAFIRI TANZANIA, ILI
    AIPELEKE KWA KIKWETE? MAANA WANAOHUSIKA HAWAWEZI KUFANYA KITU BILA SAUTI YA KIKWETE.

    ReplyDelete
  4. we anony wa 2.10 kwani Michuzi yuko Ulaya? aaah hebu tulia wewe

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...