Home
Unlabelled
taifa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
these kids look so cute and innocent. they all seem to know the meaning of ujamaa. Dala dala ikija, itubebe wote au sivyo watuache sote. They really look so cute!
ReplyDeleteMichuzi ukipiga picha za watoto wa watu hivyo bila ridhaa, ulaya utafungwa mpaka jela ibomoke !
ReplyDeleteHIVYO NYIE HIZO SURA ZINATUAMBIA NINI? NA KUTUFUNDISHA NINI CHAP CHAP?
ReplyDeletePLEASE KIKWETE SIO WACHEZA MPIRA PEKEE NDIO WANAHITAJI USAFIRI.
HAWA WATOTO JE?
HATA KAMA WANANGOJA SCHOOL BUS YA PRIVATE, JE NI WOTE?
WHAT CAN YOU AND ME DO ABOUT IT?
NANI ATASIKILIZA HII SAUTI YA WANAFUNZI NA USAFIRI TANZANIA, ILI
AIPELEKE KWA KIKWETE? MAANA WANAOHUSIKA HAWAWEZI KUFANYA KITU BILA SAUTI YA KIKWETE.
we anony wa 2.10 kwani Michuzi yuko Ulaya? aaah hebu tulia wewe
ReplyDelete