kyu chif na tiaidii walikuwepo kumpa taff jei zii

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. http://www.mtv.com/news/articles/1540898/20060914/jay_z.jhtml?headlines=true

    ReplyDelete
  2. KWA PICHA ZOTE ZA TOUR YA JIGGA.
    FUATA HII LINK UJIONEE WATU WALIVYOFULIKA NCHI MBALIMBALI

    http://www.mtv.com/news/articles/1540898/20060914/jay_z.jhtml?headlines=true

    NENDA KWENYE PICHA "WATER FOR LIFE TOUR"

    ReplyDelete
  3. Michuzi ningeomba kuuliza swali ndugu yangu; LEJEA HAPO NYUMA KWENYE COMMENT YAKO YA ILANI soma kipengere numba MBILI(2)nanukuu: NIANZE KUCHUJA MAONI NA KWA KUFANYA HIVYO NIWANYIME UHURU HATA HAO WATUKANAO AMBAO WANA HAKI YA KUTOA MAONI KAMA WALE WASIOTUKANA?

    Kaka michuzi kwanza mimi nimekwisha toka katika katabia ka kutukana nadhani unapendezwa na comments zangu kwani nyingi nimeziona una zi post, sasa mimi binafsi ningependekeza kama kuna uwezekano watu tuwe tuna sign kwa email zetu na majina yetu unaonaje? comments zikiwa na matusi machafu ndiyo ungezizuia kabisa sasa hivi inachukuwa muda mwingi comment kuwa posted sasa sijui ikiwa usiku huko unafanyaje tusubiri na huku ikiwa usiku kwetu kusoma comments tulizo post? Asante natumaini utalifanyia kazi hili swali langu pia.

    ReplyDelete
  4. It is interesting how TID is wearing something written California and JayZ something written Tanzania....

    ReplyDelete
  5. JE BAUNSA HAPA ALIKUWA NANI? MAANA KWENYE SHOO KAMA HIZI LAZIMA MABAUNSA WAWEPO NA WA NGUVU ILI BLING BLING KAMA ZA JAY-Z SIZIKOPOLEWE KAMA ALIPOTEMBELEA MWANANYAMALA HAKUWA NA BLING BLING ZAKE, LAKIME ALIONYWA NA WASANII ASIVAE.
    NA MABAUNSA WA NGUVU NINAOONGELEA HAPA SIO YULE -SOLOMONI- MTUMIANI AMBAYE ALIMTUMIA MKEWE KWA HALI NA MALI. NA SASA ANAVINJALI NA -SABINA- MWANA KILOMOLOMO WA KUFITI CHANGU.

    ReplyDelete
  6. Sasa wewe TID fulana ilyoandikwa Carlifonia ndani ya Daimondi manake nini?Sijui naona ni ulimbukeni maana kama mgeni anakufunza umuhimu wa nyumbani kwako kwa kweli ni kichekesho.Umaarufu wa kizembe TID huo,ni bora ungevaa tu hata fulana iliyoandikwa Afrika.Kaka ni shule au utumwa!!!!!!

    ReplyDelete
  7. nimetoka kusoma muda si mrefu kutoka kwenye website moja ya huku marekani ambayo inasema kwamba jay z amekatazwa kwenda China kwa sababu nyimbo zake zina maneno mabaya( hasahasa matusi), na kule China nyimbo kama hizo haziruhusiwi maana ni kinyume na maadili yao, lkn wangejua huku bongo watu walivochanganyikiwa kwenda kumuona sijui watasemaje, kweli hii ni dunia

    ReplyDelete
  8. China Cancels Jay-Z's Shanghai Concert
    Oct 11, 7:06 AM EST


    The Associated Press

    China's Culture Ministry has nixed a concert this month by rap artist Jay-Z at Shanghai's Hongkou Stadium, citing a need to protect local hip-hop fans from nasty lyrics, a report said Wednesday.

    "Some of Jay-Z's songs contain too much vulgar language," the state-run Shanghai Daily newspaper quoted Sun Yun, of promoter KS Production Co., as saying to explain the ministry's reason for refusing permission for the Oct. 23 concert.

    The concert would have been the Chinese debut for the rap icon, whose real name is Shawn Carter.

    The New York rapper's use of profanity and songs about drug dealers, pimps and violence apparently offended the culture czars, who have recently allowed other groups with sexually suggestive songs, such as the Rolling Stones and the Black Eyed Peas, to perform in Shanghai.

    The cancellation could not be immediately confirmed, but a notice posted Wednesday on an online ticket booking Web site, Tickets365, said the concert had been postponed.

    The notice in red gave no reason, but said concertgoers would be contacted as soon as a new date was set.

    A call to a representative for the rapper early Wednesday went unanswered, as did calls to the news office of China's Culture Ministry. The number for KS Production was not available.

    ReplyDelete
  9. TID tembelea www.jamhuriwear.com
    wacha mali!

    ReplyDelete
  10. maku maku maku...ulalalalalala maku maku maku maku ma ulalalalalala hawa kaka maku...wanavyomindini kuiba simu ulalala sijui.....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...