mojawapo ya vitendeakazi vipya vya jeshi la polisi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Hii picha ulishaiwekaga tukaiminyia lakini upo tu.
    Inaimpress gani hivi?

    ReplyDelete
  2. Nashangaa sana, sana sana labuda kwakuwa kuna polisi katika hii picha basi tuanze mjadala wa mapolisi walivyokuwa corrupt bongo. Na tuanze na yule ZOMBE hivi bado yuko ndani? maana alifanya maafa menge sana na hata kuuwa wananchi wetu wengi kwa ajili ya position yake aliona hatafanywa kitu. Kwa hili jambo namsifu KIKWETE HANA MCHEZO jamaa alikuwa arrested na yuko ndani. Zombe alihusika hata katika mauaji ya MINE./

    ReplyDelete
  3. ZOMBE (A Zombie with ommited third eye, "I") is an undead person in the Afro-Caribbean and Creole spiritual belief system of Vodou. These folkloric ZOMBEs are humans who have had their Ti Bon Ange or soul stolen by supernatural means and shamanic medicine, and are forced to work for their "zombie master" as uncomplaining slaves on isolated plantations. Other more macabre versions of zombies have become a staple of modern horror fiction, where they usually engage in human cannibalism.

    ReplyDelete
  4. KWANI KINA KAZI NYINGINE BASI ZAIDI YA KUWASUBIRIA WANAFUNZI WA UDSM WAKUNJI NDIO VIINGIE MTAANI.HIYO NDIO KAZI YAO.NO MIGOMO NO WORK FOR THEM.

    Chau

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...