hawa ni plz; shoto ni robert makassy (puzzo) mtoto wa mwimbaji wa zamani mzee makassy na kulia ni abdallah minja (ziggy) wa kundi la xplataz la kule arusha. kwa sasa wanaishi sitokihomu, uswidi, na wanaendeleza libeneke la muziki na tayari wametoa albumu mpya ambayo wanatarajia kuileta sokoni bongo hivi karibuni. bigi apu vijana! na asante mstahiki nyupi kutuletea habari na picha hii

usisahau kutembelea http://www.mahusiano.com/ ili kupata muziki wa bongo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 20 mpaka sasa

  1. Nimesikiliza nyimbo zao mbili hapa bongo, Dance na mwingine siukumbuki jina, lakini wanonekana jamaa wakali.tunasubil album yao.

    ReplyDelete
  2. Michuzi huyo PUZZO nimesoma nae Morogoro anaitwa ROBERT naomba anuani yake jamaa muziki toka shule huyo kama baba yake, naomba kama una anuani yake au e-mail yake

    ReplyDelete
  3. oya masela msituzuge gemu mnaiweza au longolongo?

    ReplyDelete
  4. Hawana lolote mibangi tu hapa Sitokihomu kama ilivyoiita Michuzi, watu wa vijiweni tu, wamelizika na midemu ya kizungu kutwa mipombe na mibangi hao

    ReplyDelete
  5. Michuzi wewe kweli kiboko, sababu huyo Puzzo ni miaka mingi sana sina mawasiliano nao lakini leo namsoma hapa kwenye blog nakupa big up mkuu, mshikaji toka shule kwanza nilijua muziki kaacha maana hasikiki lakini leo nimemsoma hapa ndio maana nasema wewe kiboko nimekubali mzee

    ReplyDelete
  6. hahaha jamaa hao hawana lolote hapa kwenyewe wanategemea social kuishi,.nyumba wanakaa watu karibu kumi sasa wanataka umaarufu bongo,sweden wamechoka wanataka kuwazingua wabongo kuweni macho nao matapeli hao kila mtu anawajua hapa stockholm

    ReplyDelete
  7. watz ni kiboko na nuksi tupu katika afrika mashariki yaani roho mbaya, umbea, kurudishana nyuma, wivu, na mabaya yote mnayo!! sasa naulizaga ata kama hao watu ni masikini au wanaishi kwa benefit ni tatizo gani? wapeni support na watafanikiwa tu. angalia sisi tunavyo pendana na kupeana support!

    watz Jifunzeni kupendana.

    Obando.

    ReplyDelete
  8. Doubts on Richmond deadline

    2006-11-17 08:56:15
    By Guardian Team


    Sixty days promised by Richmond Development Company to produce electricity are elapsing tomorrow, and there are fears that the deadline might not be met.

    The firm, which signed a contract with Tanzania Electricity Supply Company, TANESCO, had promised to start producing electricity within 60 days, that is between September 18 and November 18.

    There is little hope that the company will generate power tomorrow because some of the equipments have just been imported and need refreshment before being fixed.

    Reliable sources within the company said technicians were still fixing the plants, and chances that power could be generated tomorrow as planned earlier were slim.

    The Guardian visited the site yesterday at the Ubungo Tanesco Power Station in Dar es Salaam, and found technicians still working on the plants.

    ”I do not think it will be possible to have power coming out on schedule, because even the cables that allow the gas to pass arrived on Tuesday. It is just now that these people have started fixing them,” said a source at the site.

    According to the contract signed between TANESCO and Richmond, Tanzanians were supposed to start getting power through plants installed by the Richmond Development Company within 60 days, starting September 18.

    Parts of the generators started arriving in Tanzania from the US on October 21. The Resident Manager of Richmond Company, Naeeman Gire, told journalists that Richmond would make sure that it produces electricity within the set period.

    Speaking on condition of anonymity, a technician working with Richmond Development Company said some brand new transformers with 22 megawatt capacity had arrived on Monday from abroad.

    ”What have been imported are jet engines that cannot start operating immediately until they are refreshed,” said the source.

    He said the engines must first go through revitalization before they start operating.

    The technician said the newly brought facilities were not second hand but brand new.

    The source admitted that the speed of fixing the machines was rather slow, and according to him, the current pace could take the company several more days.

    ”This work can take us to at least November 25 or December 1,” he said.

    Efforts to contact the Richmond PR Executive, Mr Gire, proved futile for three days consecutively because his cell phone was either switched off or had no reply.

    A high-ranking Tanesco official, when contacted by The Guardian on when Richmond Development Company would start generating power, said it was better to seek the answer to the queries directly from Richmond.

    Efforts to contact the Minister for Energy and Minerals, Nazir Karamagi, and his deputy, Bernard Membe, did not bear fruit as we went to press as calls went unanswered.

    SOURCE: Guardian

    ReplyDelete
  9. Tanesco: We were `forced` to deal with Richmond




    TRIPLE SCORE: Kinondoni resident Violet Charles is proud to hold her three-week triplets - Jackson (center0, Jacqueline (left) and Josephine Mdede - but she needs public assistance to raise them. Good Samaritans, please zoom into CRDB Account Number 01J2021988700 - because she can`t afford feeding them. CORRESPONDENT ROBERT OKANDA.

    THISDAY REPORTER
    Dar es Salaam

    THE ’mail box’ story of Messrs Richmond Development Company is getting sexier: the bedfellows are now disowning it, THISDAY can report.

    The Tanzania Electric Supply Company, the country’s only utility firm ? has come in the open to say it never negotiated the 100MW contract for the gas generators with the make-believe US firm.

    Tanesco’s general manager for distribution and customer services, Anton Booyzen, now says his firm was ’instructed’ to sign the deal by some top official of the ministry of energy and minerals, then headed by Dr Ibrahim Msabaha.

    ’’NetGroup staff were not involved in any of the negotiations with Richmond, so this thing placed us in a very difficult position when the contracts had to be signed,’’ Mr Booyzen says in a written statement in response to questions from THISDAY.

    He adds: ’’Any professional person would be hesitant to enter into any arrangement and then to be held responsible for the execution of such arrangement, if he or she was not part of it in the first place.’’

    The RDC has twice failed to deliver on gas turbines since last September, and is still struggling to assemble the first consignment. Even then, the RDC has promised to start power generation by the end of this year
    Currently, there is a power purchase agreement of sorts between Tanesco and Songas, which determines the performance level, including blackouts, which Songas must maintain, with clauses on penalties to be applied when the company fails to achieve those minimum performance levels.

    Songas supplies 140 MW of gas-fired turbines power to Tanesco from natural gas extracted at the Songo Songo islands of Kilwa District. Two of the 40MW turbines have broken down this year, causing the unpredictable power blackouts, euphemistically known locally as ’power rationing.’

    Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) national chairman Freeman Mbowe recently claimed that a son of a senior government official is one of the directors of the RDC, a fact that paints the firm in favourable light with senior government functionaries despite its dismal performance.

    The RDC was awarded a controversial $172m (206.4bn/-) for the supply of generators despite the fact that it is not known in the State of Texas, where officials said it was ’a mailbox’ company

    ReplyDelete
  10. haya mambo ya richmond yameiva,watu walisema kuwa ni matapeli sasa mwayaona mambo hayo yamekuja yenyewe ,tanzania italizwa mpaka mwisho ya dunia.kwa heri tanzania.

    ReplyDelete
  11. jamani mtoto wa kigogo anayeongelewa ni fred lowassa aka kadete,nani asiyejua???ulafi wa pm wetu??mtajiju.

    ReplyDelete
  12. oyaaa PUZZO mzee wa wa2ku2 long time not see kaka....viiiipiiiiii!!!tuwasiliane kwa mail hii zemarcopolo@yahoo.co.uk nimefurahi kusoma unaendeleza fani.
    aaaaaaaaaaaaaaaaiiiii
    Imani.

    ReplyDelete
  13. Ziggy vipi msela hongera sana wazushi tunasubiri kukupa tafu A TOWN tunazidi kupanda chati Pole sana na kifo cha FATHER (NELSON. XPLATAZ vipi

    ReplyDelete
  14. Wewe anomymous hapo juu inaonekana wewe ndiye unategemea social hapo Sweden, na umarufu unakuja wenyewe, utake usitake na sio roho mbaya yako ndio itawazuia kuwa maarufu hao xplastaz maarufu siku nyingi sasa wewe unaongea nini au wewe ndio huna nyumba hapo inaonekana unaroho mbaya sana sijui itakusaidia nini endelea na roho yako mbaya na si ajabu unaishi humohumo kwenye geto la mtu 10 nyan´gau we

    ReplyDelete
  15. Michuzi hawa Xplastaz wako wapi siku hizi

    ReplyDelete
  16. huko Sweden kuna mijitu inaroho mbaya sana na kupenda kuchafulia watu majina na hasa mijitu iliyo choka na kuchanganyikiwa na maisha kwao ndio kunafanya wawe na roho za korosho na sijui inawasaidia nini, SHAVU KUBWA PLZ TUNASUBILI UJIO WENU

    ReplyDelete
  17. Hongera msiingie mitini

    ReplyDelete
  18. hata kama hawana lolote wanavuta bangi hayo ni maisha ya kutafuta, na kama kazi yao nzuri tutaifurahiya kwani hata hao mnao waona wa maana walitokea huko huko na bado wanavuta hizo bangi wewe hujasikia huko USA wanakamatwa na bangi kila siku na bado wapo ktk chati wabongo acheni ushamba wapeni shavu vijana sifa kwa MBONGO kama wana vuta hiyo ni kzi ya polisi wewe haikuhusu wewe unanini zaidi ya kutumwa na wazungu?

    ReplyDelete
  19. me i dnt c the point hw come maswala ya richmond yaingie kwenye picha hii kuna connection yeyote kweli!!!! bwana Michuzi advice wa2 naona wanamix vi2, otherwise mzee kip it up the thing(blong) is gud mpe big up boss wako Jimmy M. A

    ReplyDelete
  20. mwana big up long time pale pande za vibandani moro so sio ishu wapo ata unyamwezini watu wa dis usjl tuliambiwa kuwa na wahenga uyaone na wewe ni rasta na machizi wanajua ilo pindi ile mango garden moro na dj kisuda ulikuwa unafanzaga maujanja uyo boya akujui pi puzzo ivyo ivyo ajui kuna watu wametoka kwa ajiri ya u mamba kama yeye baba yake fala kwenye inchi hii poa wache watuibie na kula kodi za wananchi zinazomsomesha uko sweden yaan dogo ajui maisha uyo ni maku tu.by banda east africa mwambie nakuja uko mwana nitakuwa marmo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...