jack pemba akiwa na kanali kipingu, mkuu wa shule ya sekondari ya makongo, wakikagua kazi ya kutengeneza viwanja vitatu vya shule hiyo katika mpango wa miaka mitano waliongia na global scouting agency ambayo jack pemba akiwa ni makamu wa rais ameamwaga mamilioni ya shilingi kuutengeneaza ili zipaji vivhanga vya soka vifanyie mafunzo kabla ya baadhi yao kuteuliwa kwenda uk kwa majaribio ya soka la kulipwa.

PEMBA: "Yaani hapa Brother akiongeza kukwangua kidogo tuu, kama sentimita moja chini, kiwango cha soka cha hawa vijana kitapanda."
ReplyDeleteKIPINGU: "Eti enhee.. Nilikuwa sijui hilo .Ndio maana uwanja wa Taifa mechi zake zinakuwa hazina kiwango"
Hahahaha anoy hapo juu. Jeki suti imeenda skuli, ila acha longolongo, fanya kweli kuhusu hivyo viwanja
ReplyDelete