
serikali leo imetembelea familia ya hayati hassan mbonde dereva wa daladala aliyepigwa risasi na mshukiwa ditopile mzuzuri, na kutoa pole kwa wafiwa na ubani wa 500,000/- . hapo ni katibu mkuu kiongozi mh. philemon luhanjo akikabidhi ubani kwa baba mzazi wa marehemu mh. mzee mbonde huko kawe. jk pia katuma salamu za rambirambi na inatarajiwa atakwenda kuhani pindi arudipo safari, meibii jumapili hivi. mh. mzee mbonde amemwambia mh. luhanjo kwamba hayati hassan ndo lilikuwa tegemeo la familia, na kuondoka kwake ni pigo kubwa kwao
kweli nchi yangu masikini kupindukia, yaani inatoa 500,000/-Tshs na inaandika kwenye vyombo vya habari?! Nimesikia marehemu ameacha watoto, je kweli hii itasaidia chochote na kama itasaidia ni kwa kipindi gani. Kitendo cha serikali kutoa rambi rambi ni kithibitisho tosha kwamba haki itatendeka kwani wao wamekubali kwamba mwenzi wao kaua. Natumaini mahakama haitaingiliwa kwa mtaji huu.
ReplyDeleteKama familia ilikjuwa inamtegemea marehemu wameumia. Hiyo laki tano haifiki mbali!
ReplyDeletehallo bwana katibu, tunashukuru sana kwa moyo ulionyesha katika huu msiba.
ReplyDeletetunaomba mambo yaendelee hivi.
Interesting............
ReplyDeleteDamage control by the government? I think it is..a smart move to prevent a backfire from constituents.
ReplyDeleteNdio kusema katibu kiongozi anafurahia,ama anasikitika.Mbona naona kama anachekelea,hao ndio wanawapa vichwa machizi wao.Dito walimlea mwenyewe
ReplyDeletehttp://www.cnn.com/2006/SHOWBIZ/TV/11/09/obit.bradley/index.html
ReplyDeletenamuona mzee mbonde anamsomesha mh. philemon, safi usimuachie huyo mpekisomo lazima watoto wa marehemu wanatakiwa elimu na hakuna wa kuwasomesha nilazima wakate kwenye kiinua mgongo cha ditopile ndicho kiwasomeshe watoto hao km serikari itakuwa na nia nzuri kwa familia ya mzee mbonde
ReplyDeletePamoja na kumlaumu Kikwete na mambo mengine yanayohusiana na uongozi wake lakini nataka niseme anaonyesha ana utu sana. Hapa nampa hongera sana Kikwete na serikali yake katika hili na tunaomba moyo huu uendelee.
ReplyDeleteJe Michuzi kuna njia nyingine yeyote ya kuweza kuichangia hiyo familia hasa kwetu sisi tulio mbali na Bongo?? Naomba tufahamishe ili tuchangie chochote.
imetulia hiyo watu mlichonga sana sasa sijui mtasema nini tena maana wamewakata vimeo.
ReplyDeleteNinaamini kuwa Bwana luhanjo kaenda kuhani msiba wa dereva kama wa mfiwa mwingine, na isije kuwa ndio gear ya serekali ya kutaka kulainisha kesi ya Ditto. Serikali hiyo kwanini haikuwakilishwa kwenye msiba? Ubani wa sh laki 5 bado hautoshi na serikali inapaswa kuchukua jukumu la kulea watoto wa marehemu.
ReplyDeletehii haitoshi lazima braza Dito atumikie kifungo kirefu.sio wanaanza kufanya ujanja wa kutoa vijipesa hapa.hakuna mtu anaiuzwa laki tano.
ReplyDeletePolitics is getting in the way now.
ReplyDeleteBasi ukishaona hivi wakuu washaanza kumtembelea mfiwa basi ujue kesi hii itafukiwa hivi hivi..Hii ndio bongo bwana!!
ReplyDeleteHii ndio bongo wakuu washaanza mtembelea mfiwa.Utashangaa kesi inayeyuka hivi hivi na mtuhumiwa akapewa cheo kingine nje ama ndani ya nchi...!!
ReplyDeleteunaweza kushangaa mzee mbonde akamsamee dito kwa hizo pesa na jk akija atapewa ubani mwingine lakini ni sawa tusiangalie mavi ja jana tugange yajayo,michuzi da unamashetani au kwasababu kila jambo wewe upo ndio maana watoto wa finland wanakuitaji kwa tuzo zako hapo chelsea,njoo bwana mti mkubwa yupo na mambo makubwa african mziki hapo volum, na kamuachia yule mtoto wa kichaga bot apige mziki,tutakupokea kwa shangw na usije na pesa yoyote utazikuta uku ugaibuni finland,tunamiss safari lager na nyama choma na pilau njoo na hivyo vyote kwenye mfuko,SALAM KWA WATANZANIA WOTE,NYUMBANI NI NYUMBANI LAKINI SISI TUTALUDI TU,WASALIMIE MSIBANI,DITO MUNGU AKILAANI,UFE KAMA SADAM
ReplyDeletepamoja na ubani lakini Dito awajibishwe tu tena nimesikia JK alitaka kumpa shavu la ubalozi Misri
ReplyDeleteNi ubani ama ni rushwa kuwaziba midomo akina Mbonde? Je thamani ya damu ya Mpendwa wao ni tulaki tutano. Hatujui what is going on behind scenes!
ReplyDeleteYameshaanza tutegemee yale tuliyotarajia. Mbeleko ya kumbebea Mheshimiwa Ditto imepatikana.
Mawakili wa mtuhumiwa tafadhali msitutishe wanachi. Tuna haki ya kuair views zetu. Kama mahakimu wenu ni mabwege kiasi cha kuchukua ya mitaani na kuathiri maamuzi yao, basi haki haitendeki kamwe katika jamuhuri yetu.
Najua mna njaa kali kwani kwa maoni yangu kwa malipo kidogo ya pesa munaweza kumtetea mhalifu yoyote hata kama amebaka binti au wake zenu. Mna professional abligation kuona haki zina kuwa administered mahakamani.
Jamii haimuhukumu mteja wenu. Nawasihi msidharau sentiments za watu. Ni message tosha kwa uongozi wa nchi hii wafahamu matarajio ya wapiga kura wa nchi hii waliowaweka madarakani.
Kwa Watanzania wenzangu tukae chonjo tujihadhari na mob psychology. Asilimia 80.28% ya kura zetu tulizoipa CCM mavuno yake ndiyo haya kweli? Sidhani mimi naona Mheshimiwa Ditto ni yake binafsi na aachiwe mzigo wake aubebe yeye mwenyewe asiwaponze wengine.
Mh.Luhanjo kny ya Mtalii wetu JK,na kaimu raisi anayehudhuria kikao cha bunge,mambo ya bongo hayo.
ReplyDeleteTunashukuru kwa kuona umuhimu wa kwenda kuwaona wakina mbondes kwani sasa angalau wamepoa kwani siku ile ya mazishi ingekuwa mtafaruku hata rainbow alikwenda na kikosi kamili kujihami.
500,000/= kusemakweli ni kidogo ila kama alama ya kuonyesha masikitiko sio haba hata 100,000/= ya mzee wetu w kilalacha waliipokea kwa mikono miwili - ingawa sijui kama zile zilizokusanywa na madereva kutokana na kusimamisha magari kwa nguvu zilifika kwa walengwa Mungu awalaani wote waliokusanya na kutozipeleka kwa familia ya Mbonde.
Luhanjo chonde chonde hao watoto wawili wa marehemu simamia WASOMESHWEW SHULE HADI UWEZO WAO UTAKOWAFIKISHA NDIO ZAWADI PEKEE KWA FAMILIA HIYO NATUMAINI UTATOA USHAURI NASAHA KWA MKUU AKIRUDI TOUR YAKE.
Vinginevyo fanyeni yote ILA DITO KAUA,BASTORA IMEFICHWA KWANI DREVA WAKE AMBAYE TUNAAMBIWA NI MLINZI WAKE NA ASIKARI ALIITUMIA KUPIGA HEWANI NA KUMUOKOA DITO NA KIFO PALE KAWE ."MWENYEZI MUNGU AMETOA NA AMETOA JINA LAKE LIHIMIDIWE" AMIN INSHALLAH SUBHANA WATAALA ATAWAJALIA KUTUMIA BUSARA NA KUTOMOUNEA DITTO HURUMA KWA NAMNA YOYOTE ILE.
This is all politics, kwa serikali kutoa ubani mojamoja kwa moja kwa familia ni njia ya kutaka kumweka mzee wa watu karibu ili hata Dito akipelekwa ubalozini nchi za nje awe amemsamehe, yetu macho that is how its goin to be, kama hakutoka akapewa ubalozi flani nje mtaniambia hiii ndio bongo politics, unakula unapoweza
ReplyDeleteMrema upo hapo? Umetoa laki moja wenzio laki tano.Halafu unasema wapinzani hamshindi uchaguzi.
ReplyDeleteMbowe na helikopta yako bado tu hujatua kuhani msiba? Helikopta yako imeishiwa mafuta au ni ujeuri wako. Angekuwa ni Mchaga amepigwa risasi mbowe ungeacha kwenda? ndio maana hatutaki kukupa kura Mchaga wewe.
CUF na nyinyi hovyo.Badala ya kuongelea msiba mnaongelea kuandamana Dar es salaam kuhusiana na mambo ya raisi wa Zanzibar.Afande Mwema usiruhusu maandamano bara.Sababu uchaguzi wa raisi Zanzibar si jambo la muungano.Wala kauli za Raisi Zanzibar kuhusu Zanzibar si mambo ya kimuungano.Wakaandamane Zanzibar huko huko.Hatutaki barabara zifungwe kwa ajili ya mambo ya Zanzibar ambayo si ya Muungano.Wananchi tusipotezewe wakati,uhuru wetu na mali kwa ajili ya vitu vya kipuuzi.Tutakuchukulia hatua za kisheria Said Mwema ukiwaruhusu safari hii waandamane bara kwa masuala ya ambayo ni ya Zanzibar ambayo bara hayatuhusu.Hatukubali safari hii.Kama CUF wanajifanya ngangari na wananchi safari hii tutawakomalia CUF.Vya zanzibar wakafanyie huko huko Zanzibar.Hatutaki wavifanyae bara.Ukishindwa ubunge Mwanza huwezi kwenda andamana Pemba.Wakiwa na mzozo zanzibar wakaandamane huko huko siyo Tanzania bara.Wapemba msiizoee sana Tanzania bara.MKOME.
Ni suala jema, lakini 500,000/= kutoka kwa katibu mkuu kiongozi, na Wafiwa kutemblewa na JK; Isiwe kigezo cha kusamee/kufuta kesi.Kesi ibakie pale pale na sheria ifuate mkondo wake.Sitashangaa kusikia wafiwa waamua kumsamee dito.Dito anatakiwa aukumiwe kwa kosa lake la mauaji.
ReplyDeleteHivi ni kitu gani kinachowafanya watanzania wasiwe na imani na mahakama HASA kwenye hii kesi inayomusu bwana DITO? kwa nini hatuachi mahakama ifanye kazi yake? tumekuwa watu wa kuishi kwa kudhani tena inasikitisha hata asasi za kisheria zimeingia kwnye mkumbo huo hii ni aibu, Hebu MAMA KIJO BI SIMBA na taasisi yako acheni mahakama ifanye kazi nadhanhayi nyinyi mnajua sheria kwa hiyo acheni kuwa MAKASUKU kama watu ambao hamjasoma,Nashukuru mawakili wa mshitakiwa wameliona hilo na kuamua kuliongelea.Sasa nasoma maoni ya watu bado pamoja na serikali kwenda kutoa ubani kuna watuwanadhani hiyo ni njia ya serikali kuwannyamazisha wafiwa haya ni maoni ya ajabu sana HEBU TUIACHIE MAHAKAMA IFANYE KAZI YAKE .KWANI KWA MUJIBU WA SHERIA bwana DITO hana hatia mpaka mahakama itakapo toa hukumu yake
ReplyDeleteNamnukuu JK ktk barua yake aliyoandika akiwa nje ya nchi baada ya Mh. Ditopile kuomba kujiuzulu ""Kwa mara nyingine tena, pole kwa yote. Usiache kumshukuru na kumuomba Mungu"".Hich ni kipande tu cha barua.
ReplyDeleteHii siku alipotoa pole kwa Ditopile, mbona hakutoa pole kwa wafiwa?, kwa mtazamo wangu, wafiwa ndio ilibidi wapewe pole kwanza, then ndio apewe mtuhumiwa.
Nionavyo mimi, pole hii imechelewa sana. the damage has been done already.
MIMI NILIKWISHA SEMA MKANIONA MJINGA KIKWETE ANAWAJALI WALE WENYE NACHO HATA KWENYE MSIBA WA DETROIT HAKUTOKEA ALIWEZA KUKAA NA TAIFA STARS NA MSIBA WA KINA GEORGE MAZULA HAKWENDA SASA ANAMWAMBIA HUYU JUHA AMSHUKURU NA KUMWOMBA MUNGU? YAANI HUYU MWEHU AMEUA MAKUSUDI NA UNAMWAMBIA AMSHUKURU MUNGU? WHAT THE FUCK? SAMAHANI MICHUZI KWA LUGHA CHAFU! LAKINI KIKWETE AMEKOSEA ALITAKIWA KUKI LAANI HIKI KITENDO CHA HUYU JUHA HATA KAMA KESI IKO MAHAKAMANI, KWANI SI KILA MTU ALISHUHUDIA KWENYE BASI HUYU JUHA ANATOA BASTOLA NA KUMTANDIKA HUYU DEREVA WA DALADALA? SASA AMSHUKURU MUNGU KWA MISINGI GANI? WABONGO NA NYIE HUKO MMEZIDI KULALA KWA NINI MSIWE KAMA DEMOCRAT HUKU USA? NDIYO MAANA WAKENYA WANATUCHEKA KAZI KULIA LIA TU NA NDIYO MAANA MNA BULUZWA KWENYE MUUNGANO WA AFRIKA MASHARIKI BILA NONYI KUPENDA. HAWA VIBOSILE KAMA HAWAWATENDEENI HAKI ACHANI KUWACHAGUA KWENYE CHAGUZI MBALI MBALI OPEN YOUR EYES YOU DUMMY TANZANIANS!
ReplyDeletekila mara nasikia wimbo Tanzania ni nchi yenye AMANI sasa naomba kuuliza hii ndiyo AMANI mnayo IMBA kila kukicha? yaani REGIONAL COMMISSIONER anatoa bastola na kufyatua kwenye kichwa cha MLALAHOI? halafu mnasema tanzania ni nchi yenye amani. RAIS NAYE ANAMWAMBIA HUYU MWEHU AENDELEE KUMSHUKURU NA KUMWOMBA MUNGU? ama kweli Tanzania ni nchi yenye AMANI! Imefika wakati WATANZANIA muanze kuwa hoji VIONGOZI WENU wanapo toa kauli za namna hii ili next time waweze kujiheshimu...amkeni wa TZ kumekucha acheni kulala jamani, USIPENDE USINGIZI USIJE UKAFA MASKINI!!!!
ReplyDeleteWe Kenge Kajumulo Usituite Dummy Tanzanians kwa hizo kazi za kusafisha matako ya wazungu huko Marekani.Ni haki gani msomi kama wewe kusafisha matako na kubeba mabox.Democrat washinde au washindwe wewe utaendelea kusafisha matako ya wazungu huwezi pata ajira ya maana.Tutue watanzania.Kama kutufundisha unaweza kutueleza tofauti ya harufu za vinyesi vya wazungu vya kijani,nyekundu n.k siyo siasa hizo hujui.
ReplyDeleteIssa,
ReplyDeleteYou did NOT take this photo. Why not acknowledge the ACTUAL photographers everytime you use their material? It is DISHONEST not to do so, even if you work with them!!
People visiting this blog assume it contains your work only and if not then you'll specifically acknowledge the actual owner.
Benard
Kwa kweli laki tano haiendi mbali. Serikali watoe ahadi kuwa watoto watasomeshwa bure mpaka Chuo Kikuu!
ReplyDeleteWewe Anony. 5:26:46 pm acha kumtukana mwenzio. Anachosema ni kweli - "Tembea ujionee usingoje kuambiwa" au "Kalaga bao.." waswahili walisema, na ndio maana mnachagua viongozi wabovu huko nyumbani kwa sababu ya kutokuwa na uwezo wa kuona mbali! Wewe unafikiri kila aliyekuwa huku ni mlala hoi kama wengi wenu mlioko nyumbani? Kazi mmkalia wizi tu.
ReplyDeleteWew anony wa friday 2:40:05 unachongea hujui. Watu kukosa imani na mahakama zetu hilo wala si siri. Kwani si kuna watu wameua na wako mtaani wanatembea, kisa baba zao vigogo? Vipi hapa huyu ambaye ndio kigogo mwenyewe?
ReplyDeleteHilo la ubani mbona huiambii serikali yenyewe kuwa inamuhukumu Dito? Kwani kuna Watanzania wangapi wanauawa lini ulishaona serikali ikatoa hata sh. 1000 tu? Hapa tafsiri ni kuwa Dito kaua raia mwemwa na kwa sababu raia huyu kauawa na mtu wa serikali ndio maana wakatoa rambirambi. Tunaweza kwenda zaidi ya hapo nakusema. Sheria haikatazi watu kuzungumzia kilichotokea, bali inazuia pande zinazohusika, mahakama, waendesha mashtaka na mawakili kuongelea mwenendo wa kesi. Opinion zetu huku haziwezi kuinfluence kesi. Acheni kujifanya mabushh lawyers.
Wewe anony wa friday 2:40:05 unachongea hujui. Watu kukosa imani na mahakama zetu hilo wala si siri. Kwani si kuna watu wameua na wako mtaani wanatembea, kisa baba zao vigogo? Vipi hapa huyu ambaye ndio kigogo mwenyewe?
ReplyDeleteHilo la ubani mbona huiambii serikali yenyewe kuwa inamuhukumu Dito? Kwani kuna Watanzania wangapi wanauawa lini ulishaona serikali ikatoa hata sh. 1000 tu? Hapa tafsiri ni kuwa Dito kaua raia mwemwa na kwa sababu raia huyu kauawa na mtu wa serikali ndio maana wakatoa rambirambi. Tunaweza kwenda zaidi ya hapo nakusema. Sheria haikatazi watu kuzungumzia kilichotokea, bali inazuia pande zinazohusika, mahakama, waendesha mashtaka na mawakili kuongelea mwenendo wa kesi. Opinion zetu huku haziwezi kuinfluence kesi. Acheni kujifanya mabushh lawyers.
Wewe anony wa friday 2:40:05 unachongea hujui. Watu kukosa imani na mahakama zetu hilo wala si siri. Kwani si kuna watu wameua na wako mtaani wanatembea, kisa baba zao vigogo? Vipi hapa huyu ambaye ndio kigogo mwenyewe?
ReplyDeleteHilo la ubani mbona huiambii serikali yenyewe kuwa inamuhukumu Dito? Kwani kuna Watanzania wangapi wanauawa lini ulishaona serikali ikatoa hata sh. 1000 tu? Hapa tafsiri ni kuwa Dito kaua raia mwemwa na kwa sababu raia huyu kauawa na mtu wa serikali ndio maana wakatoa rambirambi. Tunaweza kwenda zaidi ya hapo nakusema. Sheria haikatazi watu kuzungumzia kilichotokea, bali inazuia pande zinazohusika, mahakama, waendesha mashtaka na mawakili kuongelea mwenendo wa kesi. Opinion zetu huku haziwezi kuinfluence kesi. Acheni kujifanya mabushh lawyers.
Sasa watanzania tufunguke macho. mwanzoni tulimuona Kikwete ndiye rahis but he's prejudice. Ameenda kumtembelea balozi aliyefiwa na mwanae kwa ajali ila huyu mwananchi kwa vile hana kitu hana haja ya kumuona. Another thing, unajua Dito ndiye alikuwa msimammizi wa JK katika harusi yake so they are very good friend and I don't think kuna haki yeyote itatendeka.
ReplyDeleteLast issue: Angalia serikali sasa imetawaliwa na waisilamu, kuanzia wanawake wasio na elimu. It is ashamed. Nimeona picha ya huyo Amina Chifupa kwa kweli we need better and disent MPs. Watanzania tuwe makini tunapoenda but this is wrong and worse direction for our country. Namiss enzi za mzee Rukhsa na Mkapa.