Home
Unlabelled
moualim
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Huyu jamaa ni mbunifu sana, kuna wakati nilibahatika kuona art work zake kwenye computer kwa kweli nilishangaa, jamaa alikuwa ana design vitu vikali sana, kuna kipindi pia alijaribu kuimba sijui aliishia wapi?
ReplyDeleteYale yale, hivi bwana michuzi umekosa cha kutuwekea ? Yaani haipiti wiki bila kuweka mambo ya umiss kwenye hii blog yako ?
ReplyDeleteNAKUBALIANA NA ANONY HAPO JUU. MICHUZI KAZI IMEKUSHINDA?? MAANA KAZI YAKO MOJA HASA YA KUWAPA UJIKO WATU WASIOKUWA NA MAANA KAMA CINTHYA MASASI, HATA PIA WANAOTUMIA HII BLOG BULOGU YAKO KUTAFUTA KUWA POPULAR KAMA YULE SHENA SINARE, ALITUMIA MATANGAZO YA NGUVU YALE YA MSIBA WA WALTER NA VONETHA, KULETA STORY ZAKE HAPA. NA WEWE KAMA TUNAVYOJUA UNA-VIEW MAONI KABLA YA KUPOST NA UKAWA UNAPOST UTUMBO ALIOKUWA AKIANDIKA SIJUI MWENYEWE PAMOJA NA RAFIKI ZAKE. VIPI WEWE? NA SASA UNARUDI TENA KWENYE MAMBO YA UMISS UMISS TU. NOMA HII.
ReplyDeleteanony wa hapo juu mshamba sana sasa we ulikuwa unataka aweke picha za nini??? acha mambo yako ya kikoloni....
ReplyDeleteWAHESHIMIWA ANONY 2 AND 3 HAYA SIYO MASHINDANO YA UMISS NI KUONYESHA KAZI ZA UBUNIFU WA MITINDO YA NGUO, NADHANI I NAFASI NZURI YA WATU AMBAO HAWAKUWEPO KWENYE SHEREHE HIYO NA AMBAO HAWAPO NYUMBANI WAPATE KUONA NI KAZI GANI WATANZANIA WENZAO WANAIFANYA NA NI VIZURI,
ReplyDeleteWABUNIFU WOTE HINGERENI KAZI NI NZURI INATIA MOYO INDELEENI KUKAZA UDHI, KWANI KINA DOLCE N GABANA, DIOR NA WENGINEO NDIVYO WALIVYO ANZA HIVYO MTAFIKA TU....