mmoja ya mitindo iliyoshangiliwa sana

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Mke wa mtu atavaa nguo hii mijini? Na huko vijijini, ni nani atavaa nguo ya namna hii!

    ReplyDelete
  2. hawajashangalia mtindo ni hako katumbo na paja

    ReplyDelete
  3. wabongo kwa kuiga mambo ya kizungu, aaah mmezidi kweli nakubaliana na Born Again Pagan hapo juu. Mke wa mtu na heshima zake atavaa hii kweli? na huko vijijini. Acheni ujinga hapa, mambo mengine kuiga hamyajui na nje ya mila na desturi zenu.

    ReplyDelete
  4. acha ukoloni....full mshamba wewe.....

    ReplyDelete
  5. Nashangaa sana watu mnao sema sema hiyo ilikuwa fashion show si lazima uvae hivyo kama we mke wa mtu kuna mitindo mingine itakayo kufaa. Hiyo nguo ni nzuri sana na ina sehemu yake itakapovaliwa.

    ReplyDelete
  6. Mhhhhh! dada moto huyu ANALIPA sio mchezo jina lake nani, mheshimiwa Michuzi tafadhali mimi nataka kutoa posa hapa kabisaaaa. nichukue jumla.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...