sifa kubwa mojawapo ya watani wetu wa jadi ni nyama choma, nami nilipokuwa huko...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 24 mpaka sasa

  1. E bwana eehh hizo nyama duuuu......umetutia hamu tulio mbali........

    ReplyDelete
  2. Mate yanitoa! Hizo nyama zinatamanisha kweli!

    ReplyDelete
  3. taratibu, picha kama hizi unatuhumiza watu wengine

    ReplyDelete
  4. MIMI NAONA HUU NI UOGA WA KUTOINGIA HII JUMUIA YA AFRIKA MASHARIKI HAWA JAMAA WAKENYA WAGANDA NA WARUNDI WATATUCHEKA TUNAWAOGOPA KWANI SISI NI MBUMBUMBU KIASI GANI TUNYANG`ANYWE ARDHI? HUU NI UOGA WA KUSHINDANA TU NA HAWA JAMAA KINGEREZA KINATUPIGA CHENGA NA HAYA MAJAMAA MAKENYA MAGANDA NA MATUSI YAMESOMA SANA KULIKO MAMBUMBUMBU MENGI YA KITANZANIA. SASA UOGA UMEZIDI INATUBIDI TUJIFUE NA SISI TUHIMIZE WATOTO WETU WENGI WAINGIE SHULE, HUU MUUNGANO NI BORA UFANYIKE MAPEMA ILI KUTUWEZESHA SISI WATANZANIA KUWA NA USHINDANI KIBIASHARA NA KIELIMU PIA. KUJI ISOLATE HAKUTO TUSAIDIA KITU KWANZA TUNA EXPERIANCE KUBWA YA MUUNGANO HIVYO HAWA JAMAA WATATUTEGEMEA SANA KATIKA MAMBO MUHIMU. KIKWETE HALAKISHA HUU MUUNGANO IKIBIDI KABLA YA MWAKA UJAO TUWE NCHI MOJA...KWANZA WATU WENGI WATAFANIKIWA KUSOMA UGANDA AMA KENYA KWENYE ELIMU POA NA WENGINE KUJIFUNZA KIFARANSA NA KUWA MAKINI KATIKA BIASHARA KAMA HAYA MATUSI THEN KESHO TUNAWEZA KUICHUKUA NA SISI NCHI YA MALAWI ILIYO DOLORA KAMA SISI

    ReplyDelete
  5. Jamani jamani michuzi - wenzio njaa zauma - mmh mie mate tele mezani SI MCHEZO umenikumbusha mbaaaali sana mwenzio.

    ReplyDelete
  6. Mmh! Nyam nyam nyam!! Baba, umenikumbusha Kwetu Umasaini. But kule hakuna Coca!!!
    Nagira.

    ReplyDelete
  7. dooh huo mfupa umeushika kama mboo angalia kuna majitu ya mombasa huko yatakufanya vibaya matakoni....nyama isiwe taabu kaka michuzi

    ReplyDelete
  8. Sasa hapo kwenye kibakuli ni maharage au chutney?

    Na wewe Maimuna acha kuongea mambo ya mboo hapa!

    ReplyDelete
  9. duuuu nimezimiss hizo chupa za soda

    ReplyDelete
  10. Michuzi huko Japani upige picha unakula vyura na nyoka, na pumbu za mbwa maana ndo vyakyula vikuu wanaolishwa waheshiwa huko! TAMU!

    ReplyDelete
  11. Iko wapi sukuma week sasa. Doh hiyo nyma mshikaji...mbona unatukumbusha mbali. Tuna miss wenzako hizo...hizi BBQ hazifikii wala 10% ya hiyo naturali....mwenzangu hebu tutumie kabox basi huku...hata ile ya kukaushwa basi....wow that looks so yummmy!!!!!!!!

    ReplyDelete
  12. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  13. Michuzi,

    Yaani nimeangalia hii picha na nikatokwa na mate! Hizo nyama zinatamanisha kweli. Looks so delicious. Yaani nimekumbuka mbali. Na kweli barbecue za hapa USA si sawa na nyama ya kuchoma ya Bongo.

    Je, ni restaurant gani hapo? Nilivyokuwa Nairobi niliwahi kwenda kwenye restaurant fulani ilikuwa inaitwa THE CARNIVORE, walikuwa na nyama choma tele pale. Sijui bado ipo?

    Endelea kutuwekea picha nzuri!

    ReplyDelete
  14. Nimekubaliana na Ayub Msami hapo juu. Na hata mimi nilitoa hoja katika posti ya Michuzi iliyotangulia:

    WATANZANIA TUWACHENI WIVU BWANA!! TUMEWASEMA VIBAYA SANA WAKENYA KWA MIAKA MINGI NA NI OBVIOUS KUWA TUNAWAONA WIVU KIBAO KWA MIJI YAO MISAFI, UMAHIRI WAO WA BIASHARA, UWEZO WA KIKATA LUGHA KIBAO ZA KIMATAIFA KAMA KIJERUMANI, KIFARANSA, KIJAPANI, SPANISH NA NYENGINEZO AMBAZO ZIMEWAWEZESHA KUINUA UCHUMI WAO KUWA BORA ZAIDI YA HII BONGO YETU INAYEONDELEA KURUDI NYUMA KILA SIKU.

    HAO CHOKPRAA TUSEMAO KWANI HAPA BONGO HAKUNA? WACHENI STORI NDUGU! HUKU MITAANI DAR NA IRINGA WEVI WA VIKAPU NA MIFUKO NI TELE KAMA NINI, MBONA HATUSAFISHI UFISADI WETU KABLA KUWAONA WIVU JIRANI ZETU.

    KWANINI MICHUZI AKIWEKA PICHA ZA MAREKANI NA MATAIFA YA ULAYA HATUSEMI POROJO? AMA NI VILE KENYA WAAFRIKA WENZETU WAMESONGA MBELE SASA NI CHUKI!?!?

    POLENI KWA HERUFI KUU, COMPUTER ZETU ZA KUOMBA HIZI ZINA SHIDA NA KKEYBODI!!

    JOHAN KIPEKO -DAR

    ReplyDelete
  15. Nimefurahi watu wanapowaita wakenya watani wa jadi. Nimeshuhudia mwenyewe jinsi tunavyoachana kimaendeleo hivi hivi kati ya tanzania na kenya. Ktk historia wanakwambia mwaka 1963 kenya na dubai walikuwa katika hatua sawa kimaendeleo sasa hivi huwezi linganisha.

    Kenya wanasema hivi wameweka mwaka 2015 kama mwaka wao wa maendeleo na nimeshuhudia mwenyewe na wataweza. Ukiangalia projection zao za maendeleo mpaka mwaka 2030 nimekubali. wameanza kuwekeza katika research and developments wameanza mwelekeo ya china, na kerea na wanasema kama hawataweza hakuna nchi ya kiafrica itaweza.

    Kwa jinsi nilivyoona mashirika yao kama Kenya airways ya sasa tulie tu hatutakiwi kujihita watani wakati ubavu wetu ni mdogo sana.

    Lakini katika maendeleo ya mtu mmoja mmoja watanzania wameendelea sijui niseme tanzania rushwa imezidi kenya? hapa sina uhakika, watanzania mmoja mmoja wameendelea kweli kweli hata kama shule ni sufuri.

    ReplyDelete
  16. Tuwekee picha unavyokula sushi

    ReplyDelete
  17. Nilidhania Michuzi ni muisilamu safi kutokana na jina Muhidini Issa.Kumba namwona nakula KITI MOTO.Hiyo ni Nguruwe,shwaini.Inakuaje anauthibitishia ulimwengu kwamba yeye ni mkataji wa nyama hiyo.Mimi huwa namwona akila amewjificha kule Sinza na Keko.Haya waisilamu wenzangu na sisi tuendelee kukutandika kama mwenzetu huyu,dhambi na adhabu ni baadaye huko ahera,hapa duniani bwana.

    ReplyDelete
  18. LOL. Anoy hapo juu acha wivu, unazitamani hizo nyama, tangu lini nguruwe ikawa nyekundu

    ReplyDelete
  19. Kaka michuzi hizo chenji hapo mezani uliacha tip au ulizitia mfukoni?

    ReplyDelete
  20. anonymous 1:07
    Wewe mshmaba kabisa,unafikiri ya kwamba kiti moto ni cha wakiristu tu peke yao.Wach za kuleta bwana.Kila mtu anauhuru wa kumkana mungu wake kwa kutenda yanayopingwa na vitabu vyake vitakatifu.Mbona huongei masuala ya wanaoingia gest tena na wake za watu.Tunawafahamu wengi tu,wengine ni vibosile hata ndoa zao zikaingia mushikeri.Nyama kabisa wewe acha kuingilia haki za watu,au tukuumbue nini,wewe umeanza kumfuata huyu mzee toka akiwa USA unapobeba mbox!!!!!Hahahaha.....Eti mpo majuu,kwenye minyanyaso na kubaguliwa,wengine wanasiku kibao hata....hawajawahi...mtakoma na UKULI wenu huko.Haukumbuki il hadithi ya mimi nipo porini Sadiki afurahi nyumbani kwa Baba.

    ReplyDelete
  21. Watu wengine bwana washamba tu.Kwani kunatatizo gani muisilamu akila kiti moto.Mbona watu wengine wanafanya maasi makubwa zaidi ya hao.Wanaingia Gest house na wake za watu.Vitabu na misahafu ya Mungu imekataza.Wanabanjua hiyo mistari kichizi.Kwanza wewe |bwana mdogo naona unaendelea kumfuatafuata michuzi.Toka akiwa USA,aliporudi Bongo ,ukasema hakuhudhuria msibani sasa anajilia kiti moto unaendelea.Koma kabisa,ukichoshwa na kubeba maboksi usiku kucha ,usijifariji kwa mtandao ni afadhali ulale mchana kutwa.Tunakufahamu sana wewe na wenzako wote,mnakosa hata nauri ya kurudi kwenu eti mko mamtoni.

    ReplyDelete
  22. hahahhahhahahah ;;;;;;;;;;;

    ReplyDelete
  23. I was wondering what the white meat was. The pieces look too big to be chicken.

    ReplyDelete
  24. Good stuff mate cheers!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...