ray c akitumbuiza jana usiku hoteli ya movenpiki kwe
nye maonesho ya mitindo ya redds

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. Jamani huyo dada ni Mtanzania? Mbona anaimba akiwa nusu uchi? Acheni kuiga wazungu! Britney aliyekuwa anavyaa hivyo haheshimiki tena!

    ReplyDelete
  2. hiyo cleavage si utani, world class!!

    ReplyDelete
  3. RC jina lako kubwa but unaniboa sana unapokaa nusu uchi. Kumbuka hupendezi na hupendwi kwa kuonyesha ulimbukeni wa mchoro pembeni ya kitovu chako wala kwa kuyaacha maziwa nje. Michuzi naomba umpe ray c na wengineo picha ya miss tanzania teresia wa the 60's

    ReplyDelete
  4. Dada RayC inatosha sasa, tumeona hivyo viembe vichanga acha wewe embe dod waonyeshe. vititi vidogho, viko bruised halafu bado unaviminya kuteonyesha cleavage, inatosha sasa hebu vifiche hivyo vidakwa. Kiuno unacho, basi kitumie, mbona kina Stara hawatuenyeshi mambo flani. Dada nakufagilia lakini ficha viembe hivyo ah!

    ReplyDelete
  5. Huu ndiyo utamaduni wa mwafrika?watoto wetu wanajifunza nini katika picha hii?

    ReplyDelete
  6. Hivi unataka kuniambia Stara ataonyesha nini , tumbo na ziwa? mwacheni dada Ray aonyeshe alicho jaliwa , atutumbuize na kututamanisha!

    ReplyDelete
  7. Safi sana! Natamani.....lakini...blauzi utafikiri ni sidiria! Na sketi mkanda wa kiuno! Yangu macho!

    ReplyDelete
  8. HIla inabidi aache make amezeeka hajui kuwa siku hizi kuna watoto wadogo wenye mambo mapya. Yakwake tumeyaona miaka nenda rudi na tumeyachoka. Kwa kifupi yameishachuja.

    ReplyDelete
  9. Dada Ray C jaribu basi kubadili mtindo wa mavazi, kwani kila unapovaa ni lazima uache kuanzia chini ya matiti hadi kiunoni wazi?

    ReplyDelete
  10. nakupiga marufuku mkuonyesha titi tena ! haifai haifai, tunataka nyimbo sio uchi

    ReplyDelete
  11. watz msiwe too naive sasa ray c akiimba na mgauni mkubwaa mtaenda kumwangalia? maana kinachombeba hasa ni kiuno na muonekano wake mvalishe mgauni mpeleke stejini wataingia watu 2!!!! ray c achana na maneno ya kutoka kwenye midomo iliyo free kuzungumza fanya mambo....wewe ndio Tshala muana wetu.

    ReplyDelete
  12. Jamani, Akina Britney Spears na Lil Kim walivaa hivyo sasa wanadhauruliwa. Acha kuiga mambo ya kuwa stage nusu uchi. Hakuna appreciation dada, unashusha hadi yako tu. Ujiheshimu na watu watakuheshimu.

    ReplyDelete
  13. Tunahitaji watu wa kuwapendezesha hawa kina dada jamani. Hata kwa kutazana tu you can tell kuwa viembe vimeminywa beyond squeezing point.Kwa nini hawa wabunifu tunaowasikia wasiwasaidie hawa kinadada kujiweka sexy huku wakipendeza? Tunapaka kwani ukweli ni kuwa hatuvutiwi kiasi hicho. Watu wanaacha 'cleavage' kinamna ya kuuza magazeti. Ukitoka kama porn star haipendezi, not that Ray C katoka hivyo. We all love the chick, with right mapigo, she is by far the most pulse setting star in Tanzania!!!! Michuzi, keep it up!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...