Home
Unlabelled
ray c
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Jamani huyo dada ni Mtanzania? Mbona anaimba akiwa nusu uchi? Acheni kuiga wazungu! Britney aliyekuwa anavyaa hivyo haheshimiki tena!
ReplyDeletehiyo cleavage si utani, world class!!
ReplyDeleteRC jina lako kubwa but unaniboa sana unapokaa nusu uchi. Kumbuka hupendezi na hupendwi kwa kuonyesha ulimbukeni wa mchoro pembeni ya kitovu chako wala kwa kuyaacha maziwa nje. Michuzi naomba umpe ray c na wengineo picha ya miss tanzania teresia wa the 60's
ReplyDeleteDada RayC inatosha sasa, tumeona hivyo viembe vichanga acha wewe embe dod waonyeshe. vititi vidogho, viko bruised halafu bado unaviminya kuteonyesha cleavage, inatosha sasa hebu vifiche hivyo vidakwa. Kiuno unacho, basi kitumie, mbona kina Stara hawatuenyeshi mambo flani. Dada nakufagilia lakini ficha viembe hivyo ah!
ReplyDeleteHuu ndiyo utamaduni wa mwafrika?watoto wetu wanajifunza nini katika picha hii?
ReplyDeleteHivi unataka kuniambia Stara ataonyesha nini , tumbo na ziwa? mwacheni dada Ray aonyeshe alicho jaliwa , atutumbuize na kututamanisha!
ReplyDeleteSafi sana! Natamani.....lakini...blauzi utafikiri ni sidiria! Na sketi mkanda wa kiuno! Yangu macho!
ReplyDeleteHIla inabidi aache make amezeeka hajui kuwa siku hizi kuna watoto wadogo wenye mambo mapya. Yakwake tumeyaona miaka nenda rudi na tumeyachoka. Kwa kifupi yameishachuja.
ReplyDeleteDada Ray C jaribu basi kubadili mtindo wa mavazi, kwani kila unapovaa ni lazima uache kuanzia chini ya matiti hadi kiunoni wazi?
ReplyDeletenakupiga marufuku mkuonyesha titi tena ! haifai haifai, tunataka nyimbo sio uchi
ReplyDeletewatz msiwe too naive sasa ray c akiimba na mgauni mkubwaa mtaenda kumwangalia? maana kinachombeba hasa ni kiuno na muonekano wake mvalishe mgauni mpeleke stejini wataingia watu 2!!!! ray c achana na maneno ya kutoka kwenye midomo iliyo free kuzungumza fanya mambo....wewe ndio Tshala muana wetu.
ReplyDeleteJamani, Akina Britney Spears na Lil Kim walivaa hivyo sasa wanadhauruliwa. Acha kuiga mambo ya kuwa stage nusu uchi. Hakuna appreciation dada, unashusha hadi yako tu. Ujiheshimu na watu watakuheshimu.
ReplyDeleteRay C
ReplyDeleteNi Baab Kubwa!
Tunahitaji watu wa kuwapendezesha hawa kina dada jamani. Hata kwa kutazana tu you can tell kuwa viembe vimeminywa beyond squeezing point.Kwa nini hawa wabunifu tunaowasikia wasiwasaidie hawa kinadada kujiweka sexy huku wakipendeza? Tunapaka kwani ukweli ni kuwa hatuvutiwi kiasi hicho. Watu wanaacha 'cleavage' kinamna ya kuuza magazeti. Ukitoka kama porn star haipendezi, not that Ray C katoka hivyo. We all love the chick, with right mapigo, she is by far the most pulse setting star in Tanzania!!!! Michuzi, keep it up!!
ReplyDelete