baada ya kubahatika kutembelea viwanda vya kutengeneza ndege za airbus ujerumani, ufaransa, uingereza na hispania mwaka jana nafurahi kusikia airbus 380 yenye kubeba abiria 555 imeruhusiwa kuanza kazi. humu nimo sehemu ya baa ghorofa ya pili ndani ya dege hilo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Michuzi naona mambo yako. Hongera sana, sio wote tutapata nafasi hiyo

    ReplyDelete
  2. kindly fellow tanzanians, just bring me to light as to the direction of our national economy.where are we heading for.

    the basis of an economy, for many years agriculture has been touted as the backbone of our economy.

    as agriculture has a limited economy of scale (especially in the absence of refrigeration and other storage methods that allow for long term storage of large batches.

    an industrial society will tend to have large firms, as industry has a substantial economy of scale. A service-based economy will again favour smaller firms, as services have a limited economy of scale.

    One could also predict that as the TZ economy shifts to a service-based economy from an industrial one, small and mid-sized firms, will be more successful than large companies.

    as for the agricultural economy, i think even the commander-in-chief acknowledges that, it is no longer a backbone.

    with ukame and njaa for the past few years, why dont we jump into the bandwagon and preach outsourcing, offshoring and digitisation.kama tulichelewa maendeleo ya kilimo na kiviwanda, haya ya technology tunaweza kuyachangamkia.

    serikali isimamie, kwa nguvu, kama inavyowadhibiti wapinzani, iimarishe miundo mbinu ya teknolojia.

    tunataka fibre optic network kuwezesha faster flow ya data na communications kwa ujumla, serikali ikumbatie teknolojia katika sera zake.tutaweza kufika mbali, lakini siyo kufagiliana kijinga jinga kama watoto wa nursery school.

    ReplyDelete
  3. ANONY WA KWANZA ACHA USHAMBA. DEGE LIKIANZA KAZI SOTE TUTAKUWA NA NAFASI YA KUPANDA KWA PESA YETU. YEYE NI MWANDISHI JAMAA WANATAKA PUBLICITY HIVYO WAANDISHI WANAKARIBISHWA SANA.

    ReplyDelete
  4. Nadhani wewe ni mmoja kati ya wabongo wachache sana ambao wamepata bahati ya kulisogelea hilo pipa kwa karibu kiasi hicho.. Huna Picha nyingine ndani ya hiyo A380???, namna gani vipi kama zipo, zimwage tujionee ili na sisi tukipata bahati ya kulikwe hilo pipa tukukumbuke kwa kututoa matongotongo japo kwa picha zako, tupe mambo michuzi....

    ReplyDelete
  5. Viongozi wetu wa Kitaifa wanaitaji Airbus 380 kwa ajili ya safari za ndani na nje.Wanayotumia sasa (Gulf Stream) ni ndogo mno na haiko comfortable. Naomba kutoa hoja.

    ReplyDelete
  6. Hey Michuzi. Don't take things for granted. You are realy having a good time with your job. You can't call that a job because you are real cruising my man!!!

    ReplyDelete
  7. Wee annoy 5:39:32 acha hizo likianza kazi utaweza kupanda concord uliweza kupanda. Acha maneno.....uko bitter kwa vile kaingia humo. Ni kweli sio wote watakao weza kulipanda kama trip ya kutoka London kwenda USA itakua $12,000

    ReplyDelete
  8. anon.wa pili una mawazo mazuri sana.Sasa hivi tunahitaji kuruka stage za kati za mandeleo na twende moja kwa moja kwenye IT NA DIGITAL ECONOMY kama tulivyoruka kwenye mawasiliano ya simu moja kwa moja tuko kwenye mobile.Vijana wako fast kujifunza na wanaelewa haraka sana hii new tech,cha muhimu serikali itengeneze mazingira.Hiyvo umeme unapaswa kuwa wa uhakika,elimu ieandane na tekno hii,etc.

    ReplyDelete
  9. ANON WA 33:15 NANI KAKUAMBIA BEI ITAKUWA KUBWA KIASI CHA DOLLAR 12,000? COST PER PASSENGER NI NDOGO ZAIDI KULIKO SASA, KWA HIYO TICKETS ZITAKUWA RAHISI ZAIDI KULIKO SASA. HII SIO LUXURY KAMA CONCORD, HII NI MASS CARRIER

    ReplyDelete
  10. ANONY UNAYETOA HOJA YA UCHUMI WETU UNA NIA NJEMA, ILA SIKUELEWI. UNASEMA SMEs ZINAFAA ZAIDI KWENYE SERVICES INDUSTRY, KAMA NINI? AIR TRANSPORT, SEA TRANSPORT, AUDITING? SIDHANI! KWELI NI LAZIMA NA MUHIMU, WAZUNGU WANASEMA "IMPERATIVE" KWAMBA TUINGIE KWA NGUVU KWENYE ICT. LAKINI SIJUI NI NINI SISI BONGO TUNAWEZA KU-OUTSOURCE? KWASABABU WANAO-OUTOURCE WANATOA SERVICES KWA CUSTOMERS WAO WORLDWIDE, SASA SISI TU-OUTSOURCE WATUFANYIE NINI WAKATI HATA CUSTOMER SERVICES UKIENDA BANK ZETU WAMENUNA? LABDA UNAMANISHA TO INSOURCE, SAWA, ILA ITABIDI TUJENGE KWANZA INFRUTRUCTURE, TUWE NA BROADBAND KAMA UNAVYOSEMA, TUSOMESHE WATU WETU ICTs NA LUGHA VILEVILE, NDIO TUFIKIRIE HILO.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...