dk. martin mhando akiongea wakati wa tamasha la majahazi makuu zenj mwaka huu mwanzoni. mhadhiri huyu aishiye australia ni mkurugenzi wa tamasha hilo na pia gwiji kwa filamu. alikuwepo bongo majuzi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. bwana michuzi, nikiwa kuwasiliana naye huyu mheshimiwa unadhani naweza kumpata wapi au kwa anuani ipi? nashukuru sana kama utanisaidia.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...