ramadhani masanja banza stoni akiwa na prodyuza ali baucha wa baucha records

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. kweli unga umekumaliza kaka banza,umebaki sasa banzi!!

    ReplyDelete
  2. Pole sana Banza,maskini umepungua sana

    ReplyDelete
  3. pole sana Banza!!

    ReplyDelete
  4. MICHUZI MBONA UNATUMINYIA MAONI YETU MENGINE BWANA. TUNATOA HATUYAONI. HII BULOGU YA KIMATAIFA KAMA NCHI ZA ULAYA KILA MTU ANA HAKI YA KUNENA ILA SIO MATUSI. SASA KULIKONI. VIPI. BASI FUNGA MAANA BULOGU HII ILIKUWA POA SANA ZAMANI NAONA SIKU HIZI ZUGA TU. AH!

    ReplyDelete
  5. bdhojdkjhsiuerjlckxjfoushrfiusdhfjflksdjhfiusdhfjdlflksdjflds;j

    ReplyDelete
  6. Ni kweli kabisa, Michuzi anatabia ya kuchuja maoni, hata mimi nimeona hili jambo. Na ni maana gani sasa, angalia kuna mtu hapo juu naona amekuwa hasira amechapisha maherufi herufi tu, na Michuzi kayatoa kama maoni.
    Mzee sikuingilii katika kazi yako lakini kama asemavyo mwenzetu hapo: usiminyie maoni mengine. Toa kama yalivyo, kama unaona kuna tusi lolote basi unaweza ku-edit na uwezo huu tunajua unao. Maana nimeona kwakweli watu wengine wanapata habari nyeti kwa kupitia huu mtandao wako. Ni vizuri sana umeleta maendeleo. lakini ukiwa na upeo mchache sio poa , noma sana.

    ReplyDelete
  7. Banza kanenepa ukilinganisha na alivyokuwa wakati anaumwa, kaka endelea kula misosi ya nguvu shavu litoke tena

    ReplyDelete
  8. michuzi unaboa,mana nimetoa maoni yangu kwenye picha moja ya ikulu,,hukutoa,,kisa??? wanakuinclude kwenye visafari vya mzee,,mwandishi wa habari SI kazi yake kusifu,,hasa kwa bongo,,ACHA HIZOOO,,UNANIKERA..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...