waziri mkuu mstaafu sumaye akiwa na sir andy chande siku ya uzinduzi wa kitabu chake 'A Knight in Africa' mzee huyu ambaye ni pekee aliepata 'u-sir' afrika mashariki na kati. kuna mtasha kataka kuleta za kuleta bungeni landan kwa kuhoji sir chande kapataje ujiko huo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Lazima tuhoji mzee, Wanasema watu walikuwa wanatoa pesa ili kupata 'u-sir na wengi wao wahindi, sasa huwezi jua mzee naye alitoa dogo dogo kwa Tony Blair. Jambazi Sumaye bado yupo naye, mzee kwa kujipendelea kazidi naye, alimzidi hata Mkapa!

    ReplyDelete
  2. umemsahau Sir George Kahama.......
    au ni kuyajipachika kama Dr.Remmy Ongara??

    ReplyDelete
  3. DUH! Kumbe Mzee Chande bado yu hai!

    ReplyDelete
  4. Ni lini hizo accusation na chombo gani cha habari kilihusika?
    Tafadhali tujulishe

    ReplyDelete
  5. Anon 6.26:52 Kahama sio SIR kama unakumbuka alikuwa anataniwa sana na Nyerere,yeye kahama kajipachika hilo jina akiwa shule,SIR mchezooooo.

    ReplyDelete
  6. Chande kapewa kwa kulinda masilahi(interests) ya Waingereza nchini Tanzania! Kapewa tena heshima ya Kihindi huko India kwa kulinda masilahi ya India nchini Tanzania!

    Mama Joan Wickens pia alitaka kupewa heshima ya Lady eti kwa kulinda masilahi ya Uingereza nchini Tanzania! Lakini kakataa kwa sababu ingekuwa skandali kubwa kwa serikali...alikuwa one of the private secretaries wa Mwalimu!

    Kuna yeyote out there anayeyajua kwa undani masilahi hayo ni yepi?

    ReplyDelete
  7. Andy Chande is head of Free Masons in EA and that is why he gt the title. He is one of the few upper ranked Free Masons in the World!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...