HABARI NILIZOPATA SASA HIVI TOKA MBEYA NI KWAMBA SOKO KUU LA MWANJELWA LINAWAKA MOTO, JUHUDI ZINAFANYIKA KUUDHIBITI. INASEMEKANA VIBANDA KARIBU VYOTE VYA BIASHARA VIMESHIKA MOTO. MAMBO YAKIENDA SAWA TUTAPATA PICHA ZA TUKIO HILO LA KUSIKITISHA. CHANZO BADO HAKIJAJULIKANA...
Home
Unlabelled
BREKING NYUUZ!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


napenda kuwapa pole wananchi wa Mbeya. Naomba Mungu hakuna atakayeumia.
ReplyDeleteOh, boy!
ReplyDeleteJe, ni hilo soko lenye habari za kufunguliwa?
Taarifa ya habari niliyotaja hapo juu ni hii:
ReplyDelete2006-12-12 08:56:49
By Regional Reporters
Construction of Mbeya Market complete
Mbeya
Mbeya District Council has completed the construction of a modern market building in Inyala Ward with the aim of providing an outlet for agricultural products.
The project is also expected to raise the income of small-scale farmers. The building has cost the government 185m/-.
Speaking at a function to launch the market on Friday, the Coordinator of a programme to promote small-scale farmers in the Southern Zone, Aberhard Mbepera, explained that the facility has the capacity to accommodate 30 tonnes of various crops every day.
”This is a good opportunity for farmers in the district and beyond to sell and buy crops according to their needs,” he said.
He explained that the market would help farmers to earn a good income as they would be able to sell their products at good prices.
Currently, he said many farmers sell their products at throw-away prices because they are tricked by conmen.
”With the new market becoming operational, farmers would bring their products here and get a good price,” he stressed; adding that the market would also be a meeting point for traders and farmers.
Other investments that would be added to the market include guest houses, shops and restaurants.
Hakuna mtu anataka kujua habari zza hao wauza unga wanaotaka kuwafuatilia wauza unga wenzao. Waambie waende shule kwanza. kuna lack of education hapo kwa bwana na bibi. Hawajazoea chochote bali umbeya na kutaka u-publicit wa nguvu.
ReplyDeletehili soko acha liungue we need a new one linatisha lina nuka kama tako lisilooshwa. nimefurahi limeungua.......
ReplyDelete