nikiwa na mh. amina chifupa na mumewe medi mpakanjia na anko wao leo nyumbani kwao sinza mori kwa hafla ya kumshukuru jalali kwa yote yanayotokea dhidi yao, ikiwa ni pamoja na kusingiziwa wametengana, na ya karibuni kwamba mpakanjia kaoa mke mwingine, achilia mbali mh. alipojitosa kwenye mambo ya unga.
wote wamekanusha vikali tuhuma hizo na wameamua kumuomba Mungu apishilie mbali mikosi inayotokana na watu kusukutua vinywa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 20 mpaka sasa

  1. tunashukuru sana brother michuzi kwa kazi yako nzuri hasa tulioko mbali na nyumbani.
    lakini nafikili watu kama Amina na Medi hakuna tunacho gain na wao.kuna vitu vya maana kutonyesha kuliko hao wauza unga.hatuna shida ya kuwaona na majiko na mabafu yao.
    sory kama nitakuudhi bro.

    ReplyDelete
  2. this family is addicted to attention.poor amina is publicity-hungry, what should we expect from a legislator whose family problems [self-inflicted] take precedent national interests.

    tumechoka michuzi, leo tuna-visit blog yako, lakini next time kuna better alternatives watu watakukimbia.hapa watu wakitukana inakuwa malalamiko makubwa, lakini ungetoa picha ya ujenzi wa barabara ya shekilango, nani angetukana?au unavuta chochote nini michuzi?


    chochea debate nzuri kwa manufaa ya maendeleo.after all mambo ya mungu ni private, hahitaji trumpets ku-blow this much Mungu, Allah, God kumsikia.

    ReplyDelete
  3. Michuzi Rekebisha hilo wanalosema watanzania wadau wa hii blogu wasikilize
    nina hakika kuwa hili liko juu ya uwezo wako
    achana na individual family jali maslahi ya Taifa mbona hatukusikii ukienda kwa mkurugenzi mwenzio neema na kutoa picha za kwake na kwanini iwe kwa kina mpakanjia 2?
    Hatuna wivu ila ni kwa minajili ya kuufanya huu mdahalo usife
    juzi chipolopolopolo wamezindua ndio ulipaswa utuletee picha zao na majuzi starz wameshinda sijui ulikuwa kwenye maandalizi ya sherehe za jamuhuri
    TULETEE ENTARTAINMENT KAMA ULIVYO INTRODUCE MAHUSIANO.COM BASI NA KILA UZINDUZI UTUTUMIE PICHA
    WABILAH TAWFIQ

    ReplyDelete
  4. Hapo hamlipii! mngekuwa mnalipia sijui ingekuwaje hapa mjini. Ama kweli BURE GHALI.

    ReplyDelete
  5. Kweli Michuzi unaweza kuposti mambo ya watu binafsi lakini yanayohusu taifa kama watoto wa JK au Nyerere lakini sio hii ya kupewa pilau la bule. Lakini tunafahamu mzee na wewe unataka kulipa fadhila kwa kina mpakanjia!.

    ReplyDelete
  6. Michuzi usichoke kuweka picha za celebrities wetu, weka tuu , hao hao wanaosema hawata kuja ndio wakanza kutaka kujua leo Michuzi kaweka nini na ndio rating yako inakuwa , unadhani idadi ya viewes wako wamekuwa wengi sababu gani? weka tuu, hakuna atakaye acha kuja hapa haswa kukiwa na masuala ya picha zilizo na kontrovesi ( samahani inglish not richabo)

    ReplyDelete
  7. INABIDI UOMBE MSAMAHA KWA WANABLOGU WAKO MICHUZI KWA KUTUWEKEA MAPICHA YA DUA YA WAUZA UNGA!!!

    ReplyDelete
  8. Michuzi acha Ushamba! Masuala ya majungu na umbea unaohusu ndoa za watu yanakuhusu nini? Achana nayo hayo ndugu yangu....you're big time now!(with your own blog)... Act like you've been around ! Post photos zenye maana achana na mambo ya ndoa za watu.

    ReplyDelete
  9. Michuzi kwz hongera for givin us nice things but of htis amina thing tumemechoka she is all over the news and everywhere ets make ur bolg spot a place of relaxing wihtout seeing amina anampa chakula moody mass tena pilau ... unatuchosha mshauri akasome at least atakuwa kiakili na sio kuhonga waandishi atolewe all over the media its unfair tell us about dveelopment and other things there is a lot in this world to discuss and ltes not be simple minds discussing about people issue those are too private mwiahso mtatuonyesha hata akienda saluni na mengine mengi yasiyofaa tuendleee na ari mpya au vipi michuzi!!!

    ReplyDelete
  10. Michuzi kumbe na wewe ni Sheikh Ubwabwa!!!....

    ReplyDelete
  11. Kwanza huyo Amina na Mumewe wana sura nziiiiiiiiiiiitoooooooooooo kama uji wa mchele halafu mnazileta leta tu hapa kutuharibia mood zetu. kaka Michuzi usijifanye usikii maoni ya wanaokusupport hapa kwenye hii blog. please jirekebishe and bring more constructive/challenging topics. tutasusa wote wabakie hao wauze unga wako watazame wenyewe hii blog yako.

    ReplyDelete
  12. Michuzi sura za hawa mtu na mumewe ni nziiiitoooooooooooo mno kama uji wa mchele. please usiziweke unatuharibia moods zetu. why dont you put more constructive and challenging photos for people to comment than this bullshit about drug dealers???!!! tafadhali sikiliza manoni ya wanaokusupport kwa kutembelea blog yako na kutoa maoni. hivi tukisusa wataangalia huyo Amina na mumewe peke yake???? shauri yako kaka!!!

    ReplyDelete
  13. Huyo medi yuko rafu sana kama chokoraa hakuna class kabisa ndio maana hata viatu ajavaa...

    ReplyDelete
  14. I.M. MICHUZI - BIG UP - ENDELEA NA KAZI YAKO NZURI - CRITICISMS NI PART NA PARCEL YA KAZI YAKO - HIVYO TAFADHALI USIZINGATIE WANAYOYASEMA HAO WALALAMISHI (WINGE-ERS). WENZANGU NA MIE TUMEFURAHI KUMWONA MHESHIMIWA NA MUMEWE WAKO PAMOJA KWANI HABARI ZA MAGAZETI YETU FINYO YALIKUWA NI YA UONGO NA WEWE KUTUKANUSHIA NI FARAJA KWETU - YEYE NI MBUNGE AND AS SUCH PERSONAL LIFE YAKE NI OF INTEREST TO US - THIS IS THE STUFF THAT SELLS MAGAZINES ALL OVER THE WORLD - SO TOUGH SH..T TO THOSE WHO DONT LIKE IT - NYIE MSIOPENDA -MOVE ON TO PICTURES AMBAZO ZINA-WA-INTEREST AS WE DO TOO - SIO KILA KITU ANACHOLETA MICHUZI KITATUKUNA WOTE. SO, TO CONCLUDE, MICHUZI THANK YOU FOR THE CLARIFICATION AND AMINA, GOOD TO SEE YOU AND HUBBY ARE TOGETHER - MAY ALLAH BLESS YOU WITH MANY MANY YEARS OF A HAPPY MARRIAGE TOGETHER AND STRENGTH TO CONTINUE YOUR KIND WORKS WITH THE YOUTH OF TANZANIA. NA TUTAKUCHAGUA TENA NA TENA!!!!!!!

    ReplyDelete
  15. MSWAHILI ni MSWAHILI TUUU.. Haijalishi ni Mwandishi wa Habari (Mpiga picha) au Mh. Mbunge! Sasa Michuzi hicho ulichoandika kuhusu picha hiyo si USWAHILI TUPU????

    ReplyDelete
  16. Sio nia yangu kutoa elimu kwa wana blogu, hapana, la hasha.
    Hii blogu ni ya Muhidin Issa Michuzi (yake mwenyewe) anatukaribisha tu tuitembelee na wala hatulazimishwi kuitembelea. Hii ni sawasawa na tunapokwenda kugonga nyumbani kwake ana hiyari ya kutukaribisha na tuingiapo ndani hatuna haki ya kutaka kumwamrisha abomoe dirisha au mlango.Au hata usipopewa maji usilalamike, si umeenda mwenyewe?
    ANGALIA MAMBO YAKO YANAYO KUHUSU YA AMINA NA MPAKANJIA IS NONE OF YOUR BUSINESS. HUNA HAJA YA KUWATUKANA, AFTER ALL YOU GAIN NOTHING. WAPENI HESHIMA ZAO KAMA BINADAMU WENGINE WA KAWAIDA. KAMA HUWAPENDI THAT'S YOU. KAMA UNAONA BLOG HAIKUPENDEZI ZIKO NYINGI TU, LAZIMA HII, VIPI NINYI WATU!
    AMINA NA MEDI WANAFANYA MAMBO YA KUMTUKUZA MUNGU HAMTAKI, MNATAKA NINI SASA?
    Pasua anga Amina, kama kawaida ninakuunga mkono kwa yale mema na mazuri yote. Mungu akujalie kila la kheri na nikienda kanisa nitawaombea wewe na familia yako.

    ReplyDelete
  17. Nyie watu hebu acheni uongo, mie natembelea Blogu ya michuzi kila siku. Akiweka picha mnazoziita nyie za maana ni wachache sana wanatoa maoni. Lakini zikiwekwa picha ambazo kwenu nyie hazina maana mamamaama maoni kibao!!! Sasa mnataka nini nyie watu? Hivyo tu ni kwamba hamlipii (bure) je mkianza kulipia? Michuzi achana nao hao. Magazeti yaliandika Amina na Mpakanjia wameachana na wao wametaka kuwahahakikishia wananchi kwamba wapo sambamba je wangetumia njia gani na wao hawamiliki vyombo vya habari?

    ReplyDelete
  18. sura zimewavimba kama wanabwia unga !!

    ReplyDelete
  19. Kama unaona hii picha ya amina inakuboa..unaweza kuacha kuangalia vile vile, mimi nimeifurahia, afta ol yaliyosemwa kuhusu yeye, anaamua kuachana nayo na kumwomba mungu...We Vipi bwana!!! Michuzi endele na kazi yako, achana nao hao wanaosema hovyo!!!

    ReplyDelete
  20. Hiyo imekuwa burudani majalala kwangu kusoma komenti zenu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...