
Habari yako brother Michuzi
Watu wanasema duniani tuko wawili wawili basi huyu jaama hapo chini kwenye link ni pacha wako
http://www.harvardmagazine.com/on-line/090439.html
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ni vyema ukawaulize wazazi wako (kama bado wapo hai) hasa baba kama aliwahi kushiriki na kushinda ligi za mchangani. Huyo jamaa mnafanana kinoma.
ReplyDeleteNi kweli kabisa huyu jamaa mmefanana Mzee wa blogu
ReplyDeleteMambo ya ADOBE PHOTOSHOP nini?...
ReplyDeletethis is too much of photo copying. Michuzi, uliza vizuri wazazi wako kaka, yawezekana ukawa una undugu na huyo jamaa. ni Mbongo huyo mtu???
Michuzi hata wewe mwenyewe nadhani umestaajabu.Imebidi nifungue hayo maelezo ya Harvard kuhakikisha si wewe.
ReplyDeleteMichuzi kama umeshawahi kuiona movie ya Face/Off (John Travolta na Nicolas Cage) basi unaweza kusema mmoja wenu ameiba sura ya mwenzake kama ilivyo kuwa kwenye movie.
ReplyDeleteAcheni kumpa mafuta ya mgongo mwenzenu. Huyu jamaa hawajafanana hata kidogo isipokuwa bichwa tu ndio kubwa ndio kuna kama mfanano kidogo, sio sura.
ReplyDelete