mkuu wa mkoa wa mbeya john mwakipesile akiondoka muhimbili leo baada ya kuwatembelea majeruhi wa ajali ya ndege mbeya jana. anasindikizwa na muuguzi wa muhimbili sista mercy temu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Mwakipesile anatakiwa kufanya vitu vya workout kupunguza his bloated equator!

    ReplyDelete
  2. Mlimpigia sana Kipanya kuhusu Label yake kwenye suti yake....je na hiyo kwenye shati la Mheshimiwa vipi?au kwa sababu hilo ni shati?

    ReplyDelete
  3. Lebo ya namna hiyo kwa mashati ni kawaida. Shati la namna hiyo huvaliwa kwa kuwekwa ndani ya suruali sehemu hiyo yenye lebo!

    ReplyDelete
  4. na mie nikija kuona mgonjwa muhimbili, naomba wagonjwa wasahaulike ili nisindikizwe!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...