soko kuu la mwanjelwa lilivyo baada ya kuungua majuzi. dada teddy nyantori, mpiga picha wa maelezo dar, ndo aliyepiga picha hii, siku moja kabla ya kupoteza maisha kwa ajali ya ndege
wakati wakirejea dar baada ya waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu mh. juma akukweti na ujumbe walipomaliza ukaguzi wa janga hilo. mola iweke pema roho ya marehemu teddy - amin

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...