KUNA NJIA NYINGI ZA KUJITAFUTIA UMAARUFU. NAOMBA MSIMSAKAME BETTY KWA KUTUMIA GIA HIYO, NI HAKI YAKE NA WALA SINA NENO NAYE. NAMSHUKURU KWA MAWAZO NA HASA HASA KWA KUNITEMBELEA. BAHATI MBAYA SIMJUI NA SIJUI KAMA NITAMJUA, MAANA WENGINE HUMU AIDHA ANONYMOUS AMA JINA BANDIA. ILA TU NAOMBA MATUSI YANAYOANZA KUJITOKEZA TENA YASIWEMO. VINGINEVYO ASANTENI NA ENDELEENI NA MIJADALA BILA KUTUKANA. MIE SIOGOPI NA WALA SISUMBULIWI NA KUKOSOLEWA.
Home
Unlabelled
UMAARUFU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


SWAFIIII!!!!!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeletehayo yanayosemwa michuzi watu huongea hata ufanyeje....
ReplyDeleteAll in all tuletee basi uzinduzi wa chipolopolo..... na je barabara ya sinza imeisha au Lah??
Ah michuzi mie sikuelewi unaposema matusi yameanza wakati comments zote lazima ziwe approved, kama ni matusi basi ni wewe mwenyewe unayoya'approve'. Shukrani
ReplyDeleteTatizo lako bwn michuzi ni uswahili! Una uswahili sana kaka yangu.. Huo ndio unaokushusha hadhi. Sasa huyo betty kama anatafuta umaarufu ama nini.. una haja gani ya kumention? wangapi wameshakusakama na hujawaambia yote hayo? Ukiona hivyo ujue hiyo msg ya Betty imekugusa!
ReplyDeleteOf coz michuzi mswazi sana ndio tatizo mwanakwelekwe nyiiiiingi sana!!!!!ovyoooo
ReplyDeleteSINA HAJA YA KUTAFUTA UMAARUFU HUMU KWENYE HII BLOG MIMI TAYARI NI MAARUFU HUKUKILA CORNER MARYLAND,GEORGIA,HUOSTON,MISSOURI, WASHINGTON DC, BOSTON, NEW JERSEY,NEW YOLK,OHIO. SASA NYIE MNAOJIPENDEKEZA KWA MICHUZI NDIYO MNATAKA UMAARUFU.HUYU BABA ANAAMBIWA UKWELI SASA NA MIJITU MINGINE INABWETEKA KUSHABIKIA UJINGA WA WATU, HATA KAMA MNA UHURU WA KUONGEA KWA NINI MSITOE POINT, ZA KWENU NI PUMBA PUMBA TU? I TELL YOU MY BROTHER YOU PUT MY FACE IN THIS BLOG WITHOUT MY PERMISSION AND THEN JOYBOYS START TALKING SHIT, I TELL YOU FOR SURE IAM GOING TO HURT YOU SO BAD, THIS IS DAMN STUPID HOW CAN YOU DARE PUT PEOPLE`S PHOTOS AGAINST THEIR WILL AND THEY LET IT GO? I RESPECT YOU MICHUZI, IAM A LADY BUT I WAS NOT HAPPY WITH THE COMMENTS I SEE IN THIS BLOG YOU SAID OVER AND OVER YOU GONNA BE CAREFUL WITH WHAT YOU PUT IN THIS BLOG BUT I REGRET TO SAY IT`S INSANE AND BOGUS, THAT IS WHY I SAID MOST OF YOUR CUSTOMERS HERE ARE JOYBOYS AND YOU ARE FULL OF JOIE DE VIVRE!
ReplyDeleteBY THE WAY YOU CAN CALL ME JACQULEEN KORASSA TOO! PEACE!
na nyie mnaosema michuzi mswahili or mara hivi kwani mmelazimishwa kusoma blog yake? get a life
ReplyDeletethats not betty korassa acheni kutumia majina ya watu hamna maisha nyie watu betty is ma cousin and she cant do that na siyo betty huyo anayeongelewa
ReplyDeleteYo Betty,
ReplyDeleteSlow down mom.It is so hard to be an artist cause you admire everything come to life.Michuzi is just an artist and he love photography,that is for sure.So to be honest he won`t leave anything behind.Again it is so defficult to be an artist b`cause the way you unveil your at some who are not artists define it in a very deffrent prospect.So chill out MOM.
Betty or wateva u call urself!
ReplyDeleteWewe ni kama anavyosema Broda Michu kuwa unajitafutia umaarufu au Virusi vimeshaanza kukuathiri akili yako,nakushauri utafute mshauri nasaha akusaidie au kama ni mzima basi kuwa bize na mabox unayobebeshwa huko il upate hela ya kula baga na jinzi mbili tatu mnazokuja kutambia huku bongo.
Nimekufatilia sana nikagundua una matatizo hayo hivyo fanya jitihada upate tiba.Hauna lolote la kuwekwa picha yako kwenye blog hii labda kama hiyo ndio njia ya kumshawishi Michu akuweke ujulikane kidogo,kuwa huru Michu hana noma anamrusha mtu yoyote yule.
Pia usitambe kuwa wewe ni maarufu sana huko US,sisi tushakaa huko sana tukamaliza masomo yetu na tumerudi tuko na kazi za kueleweka na sio kubeba mabox huko na kupanga nguo supa maketi.Haujalazimishwa kuvisit blog hii,huna lolote wewe mhuko mnakaa chumba kimoja watu sita kama mabaa medi bongo walivyo na vyumba vya kupumzikia usiku.
Get busy Mama!!!
Michuzi tunaomba utupe picha za harusi ya Pemella Lowassa aneyeolewa hapa Jijini J'mosi. Tuone arusi za wakubwa......
ReplyDeleteACHANENI NA HUYU -BETTY- she is just low life someone who like michuzi said, anatafuta umaarufu, SIO UONGO NI KWELI na huna hata haya kidogo mtoto wa kike kujiingiza kwenye hii blog na kujitetea pamoja na kumsema MICHUZI. Michuzi ni Journalist mkongwe na mwenye heshima, kama na wewe una unaarufu kama ulivyojitia kumention those countries ulizojipatia umaarufu. unajiju mwenyewe hakuna ambaye yuko interested hapa. and stop your threats Michuzi can decide to put your photo here and there is nothing you can do, you fucking shit girl. get a life. na utajipatia heshima kama ukikaa kimya tu. hata kama watu wanakusema vibaya wenyewe watakoma, but kujiingiza hapa kuzoza pumba kama ulivyofanya, you are puting yourself down to their level and worse.
ReplyDeleteUkweli niuonavyo mimi, Ni kweli Michuzi kuna baadhi ya vitu huwa anakosea. Yeye ni msanii wa picha, lakini kwanini matukio muhimu huwa hayaoneshi ila tu hupenda kuonesha mambo ya watu baadhi na masifa kibao?
ReplyDeleteAnyway Michuzi ni rafiki yangu binafsi, ambae huwa hata kunywa tunakunywa nae, ila kiukweli na mimi nina makosa kwani sijawahi kumkosoa live, ila namjua kwani kuna siku tulishawahi kubishana sana kuhusu kitu fulani, na lugha aliyoitumia siku ile sikuipenda kwani alijisifu kwamba anaingia sana ikulu, anajua sana mambo ya ndani ya serikali, kwahiyo ninachoongea mimi kilikuwa pumba, na kwamba serikali haikosolewi kwa kosa lile walilolifanya wakati ule.
Tuachana na hayo. Pia dada Bety wewe pia umetumia lugha mbay mbaya za ukali, inawezekana ni hasira, punguza hasira kwenye Blog ya watu, unaonaje ukawa Anti-Michuzi ukaanzisha Blog yako maalumu kwa ajili ya kumpinga michuzi.... Free of Speech.
Michuzi ulinifungia muda mrefu kwakuwa nilikukosoa wazi wazi wakati fulani, sasa nifungie tena nisitoe maoni yangu kwenye blog yako. Lakini ntaendelea kukueleza ukweli kaka yangu, rafiki yangu, punguza masifa na kusifia watu ujinga. kama unakula rushwa ili uwape watu umaarufu humu sawa, ila sisi wengine ambao hatuna access ya kuingia unakoingia, ukumbuke hapa ndipo tuonapo visivyoonekana, sasa usituoneshe ambavyo tunavijua ni uozo, ukataka kuvitia perfume vinukie wakati tunavijua ni uozo.
karibu Feri tuvue ndugu yangu. Mvuvi Mchokozi
Do nimekuchokoza rafiki yangu, nisamehe, ila rusha tu uchokozi wangu. Usijali
ReplyDelete