bafu letu hapa homu. ukifunika taulo hapo mlangoni ....aaaa unapeta tu....ingawa jirani wanamainidi eti kwa nini sie bafu letu la bati wakati yeye ni gunia

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. hilo ni bafu lako michuzi? sio baya ila make sure ukishaoga dont touch hayo mabati, please be careful usije ukapata tetenasi. Pia angalia wakati unaoga jaribu kutoyamwagia maji hayo mabati sababu kutu itazidi. Mswaki unapiga nje au unapigia humo bafuni? Mkeo akimaliza kuoga mwambie avae kanga chapchap sio tena abong'oe uchi aanze kufua chupi yake, taarabu yote itakuwa nje! Mnatumia mataulo kuziba hapo mlangoni au khanga?

    ReplyDelete
  2. Kaka michuzi,

    Shikamoo!
    Siku moja london ulivaa koti kuuuuuuuubwa ulikuwa kama kobe ndani ya nyumba. Koti lenyewe lilikuwa linafanana na la Vasco Da Gama wa kwenye kitabu cha historia cha darasa la nne. Ulilipata wapi?
    Asante sana
    I love you kaka Michuzi.

    ReplyDelete
  3. Bado uko London? Tutumie picha ya Miss Tanzania Mdeke, Christine Alphonce, nasikia kawa mnene huyo halafu miguu myembamba! wala havutii kama zamani. Kuna watu huku Marekani wameona DVD yamiss Tanzania London 04 wanamkandia sana. Mtafute umpige picha tuone kama kweli! Nasikia alivaa suti ya kimini miguu utafikiri kabinuka sarakasi!

    ReplyDelete
  4. TO AUTHOR.
    I think we have a lot of wonderful and so impresive things to show in this blog , instead of showing "uchafu" i dont know in which purpose u decide to put this picture here ..but for my self is really shame for my country.

    DOCTOR.

    ReplyDelete
  5. asilimia kubwa ya watanzania wanaishi sahemu mbaya kuliko hapo, halafu michuzi unasema Bongo poa. wewe mambo yako poa, sio Bongo.

    ReplyDelete
  6. Annon2:03:10pm huna lolote mshamba wewe ni kitu gani kinakutia kinyaa hapo,kama nchi yenu ni maskini ni maskini tuu,na kama kinakuudhi sana ungewasiliana na michuzi akupe address ya hao wanaotumia bafu/choo hicho uwatengenezee cha kisasa hapo ndio tungeona kweli wewe ni mzalendo OTHERWISE SHUT YA ASS DOWN....keep it up michuzi ndio unatufanya tuwe na machungu tubebe sana maboksi turudi TZ tuje tufanye kweli .

    ReplyDelete
  7. Si ajabu ukitoka hapo unajidai ..."nilikuwa shower naji-refresh kidogo!".

    ReplyDelete
  8. misupu ehee!!mambo ya ugali kwa tembele, bafu la makuti,choo cha kulenga,acha wewe si mchezo!

    ReplyDelete
  9. Hii inaonyesh ajinsi gani wafrika tusivyopenda vitu vizuri.I think ni utamaduni wetu kutopenda vitu vizuri. Sidhani kama hao watu ni maskini kiasi cha kushindwa hata ch akufyatua matofali na kujenga bafu au choo kizuri.

    Akija mzungu maeneo hayo atakusanya jamaa na kutumia nguvu zao kujenga bafu/choo la kisasa.Lakini waafrika wenyewe kufany amambo yetu ni ngumu sana.

    Ama kweli Waafrika Ndivyo Tulivyo.

    ReplyDelete
  10. Dah!! hiyo kali michuzi vyoo vya uswahili ni tabuu tu,

    ReplyDelete
  11. Fikiri na yakuingie kichwani..ndani ya psyche ya Mwafrika halisi wa jadi..ingawa sasa anabadilika kwenda na wakati: Hawezi kunya na kuoga ndani ya nyumba! Anakunya nje kwa kujificha majanini, mitini, miambani! Anaoga mtoni, bwawani, ziwani na baharini. Wakati wa mvua, anaoga maji yaliyotuama kwemye miamba!

    Bado ana safari ndefu ingawa anaweza kubadilika over night!

    ReplyDelete
  12. Ni kweli huu ni uvivu tuuuu. Kama mabati hayo yapo. Kweli wameshindwa kuyapanga hata vizur? Huo si umasikini ni kutotaka kuyajenga vizuri... Kila mtu anamuachia mwenzake afanye. Kwakweli sikumoja badala ya kucheza bao wangetumia the same material kumake it better....No need of money here...

    ReplyDelete
  13. Hicho choo mwenye nacho ana nyumba ambayo inawapangaji kibao,japo anakusanya kodi lakini hafikirii japo kutengeneza ustarabu kwa ajili ya wapangaji wake.na kama mpangaji hujipendi ongelea issue ya kujenga choo,utapewa notisi ya masaa 24.Mabwana afya wako wapi?

    ReplyDelete
  14. Michizi hiyo sehemu na hicho choo nakijua.niwekee dau nikutajie.tena mama mweny e nyumba mkorofi uyo.

    ReplyDelete
  15. Hali hii ni tabia. Matokeo ya tabia iliyoachwa kukua na serikali na viongozi wake. Kwa nini kusiwepo na sheria japo ya eneo kuwaadhibu wavivu wa aina hii wanaoshindwa hata kufyatua tofari? Watu wanajenga mabondeni wanaangaliwa tu. Mwanza kwa mfano watu wanajenga nyumba ktk hali ya ajabuajabu milimani wanaangaliwa tu matokeo yake vyoo vinafurishwa ziwani? Kwanini miundombinu isiandaliwe mapema watu wajenge nyumba sehemu zilizopangwa na kupimwa vizuri? Hiyo bilioni 12 iliyoibwa kama ni kweli- na nyingine nyingi zingeweza kutumika kwa miundombinu na pengine vyoo kama hicho visingekuwepo.

    ReplyDelete
  16. Safi saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana, Michuzi; SAFI SANA. Man it's time kuelewa kuwa nchi yetu maskini. Umenikumbusha mbali sana mana sijarudi bongo miaka mingi. What a country, though we aint got nothing!!

    ReplyDelete
  17. *****&$ "rubbish" @$%^^%$^£"#

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...