mdau george oreku aliyeko uchina kaleta picha yake hii ya baiskeli taili moja. hii anadhani ni china tu inatumika na anauliza je bongo zishafika? Na anasema kuendesha lazima uwe fit kimazoezi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Asante kwa footnote, ningedhani ni choo cha halaiki.

    ReplyDelete
  2. barabara zenyewe ziko wapi?
    usije ukajikuta umeishia kuumiza makalio!

    ReplyDelete
  3. mh jamani mbona kama eye of london duu...

    ReplyDelete
  4. We baiskeli yako iache huko huko utafia huku babu yangu,speed limit yenyewe hakuna sasa fodi inayokwenda 100mhp ikikukuta is itakubakisha vipande?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...