safari hata ya pipa inachosha...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Leboooz!!! Michuzi kuwa mkweli kaka.Naona umeamua tu kuileta hii mada ya Lebooz upya.Niliisha sema huu ni ushamba kuvaa hiyo misuti ya wall matt na hiyo milebo.Mwambie mshikaji wako Ulaya bado hakujamchangamsha tu.Ni hayo kwa sasa.

    ReplyDelete
  2. Virsice ndio lebo gani tena? Hii ni kali kweli kweli. Ushamba huu sasa umezidi. Suti za kutungua za Mikemia ya kichina basi jamaa kaulamba. hahahhahahahahahha kuku mgeni hakosi ....................

    ReplyDelete
  3. Virsice ndio lebo gani tena? Hii ni kali kweli kweli. Ushamba huu sasa umezidi. Suti za kutungua za Mikemia ya kichina basi jamaa kaulamba. hahahhahahahahahha kuku mgeni hakosi ....................

    ReplyDelete
  4. mi naona milebo tu imetawala kwenye hiyo picha.

    ReplyDelete
  5. Kinachochosha kwenye safari ni muda unaotumika kwenye safari. Kwa hiyo iwe ni ndege, au basi, utachoka tu kama utatumia muda mrefu. Kwa mfano, safari ya kutoka JFK mpaka Tokyo, Narita ni masaa 13, na Boeing 747 inageuza siku hiyo hiyo kurudi JFK.

    ReplyDelete
  6. Huyu ndiye mpiga picha za tv wa TVT aliyekuwemo kwenye msafara wa JK hapa Ukerewe, kawaida kukutwa na hali kama hii, kukimbia huku na kule ukiwa umebeba camera nzito ukiongeza na urefu wa safari lazima uwe hoi. Yote maisha mshikaji, endelea kuchapa kazi ukiamka !

    ReplyDelete
  7. Lebooo Lebooo Leboo hiyo jamani!mbona kuna watu hawataki kuelimika kuhusu lebo?tubadilike wa tz.tukiendele ivyo tutakuwa hatufiki mbali nauma sana kama tuna kuwa hatuelewi vitu ambavyo vipo waziiiii kabisa,aaaaa.mjm

    ReplyDelete
  8. Kwanza usitudanganye eti uchovu na hayo malebo yako, hapo ndege kwanza hata haijaruka angalia taa za airport kwenye dirisha hapo, lakini pia kweli maana huko ni kule kwa kajamba nani (economy class) ni soo labda isiwe BA maana hata leggy room ni hakuna.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...