yule mla vichwa maarufu jijini dar bitebo leo karejea ccm toka cuf. hapa akipongezwa na makamu mwenyekiti john samwel malecela katika uwanja wa ccm mwinjuma, mwananyamala. katikati ni mgosi yusuf makamba, katibu mkuu wa ccm

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. hivi makamu mwenyekiti wa ccm anateuliwa au anachaguliwa?? michuzi

    ReplyDelete
  2. Hivi wanao twist and turn kwenye vyama wanakua serious au ni basi tu. Ni sera gani za chama ziliwafanya wakimbie mwanzoni na sasa wamekubaliana nazo nakuziona ni nzuri na wameamua kurudi? Au wanatafuta leadership ticket wakiona haiwapeleki popote wanamua kurudi?

    ReplyDelete
  3. Naomba nikujibu Anonymous hapo: Mwenyekiti na Makamu mwenyekiti wa CCM wanachaguliwa na Mkutano Mkuu wa Chama(ni term ya Miaka 5) Nafikiri uchaguzi ni mwaka huu Chimwaga.

    ReplyDelete
  4. Haya ndo mamabo ya ujanjaujanja yanayoendelea kutuua kwa umaskini kwa kukosa viongozi wenye mwelekeo na uzalendo.

    ReplyDelete
  5. Bitebo,
    Wateja wako wengi ni kutoka kambi ya upinzani. Sasa umeamua kukimbia CUF na kwenda CCM, utakosa wateja!
    Lakini nina imani kwamba umelenga na kuona mbele!

    ReplyDelete
  6. Wapinzani wanaamua kurudi si si em kwa sababu ya kubanwa mbavu na chama tawala kinachowapokea. Chama tawala hakitaki upinzani uwepo nchini. Kilichopo sasa ni kiini macho tu cha mfumo wa vyama vingi.

    ReplyDelete
  7. TZ current politics and political systems prohibit develoment. TZS kamwe haototoka ktk umaskini bila kufanyika mapinduzi makubwa ya siasa.

    ReplyDelete
  8. Naona kafuata ushauri wako Michuzi. Bahati mbaya hana jina ataishia kubebwa kwenye magari ili kupelekwa kwenye mikutano kujaza idadi ya wakereketwa. Tena mwambie ajitayarishe kubeba mabango wakati wa maandamano ya kujipendekeza kwa hotuba za JK

    ReplyDelete
  9. Mtoa Maoni wa Thursday, January 11, 2007 9:28:12 PM. Kwa bwana Bitebo haitakuwa mbaya sana kama akibebwa kwenye magari kupelekwa kwenye mikutano kujaza idadi ya wakereketwa, maana anaweza akatumia mwanya huo kama akiwa na vitendea kazi vyake kula vichwa.
    Mfano akiamua kutoa discount kwa wana-CCM wote wanaotaka kunyoa kabla au baada ya mkutano, fikiria atakula vichwa vingapi na kiasi gani cha pesa ataingiza.
    Hii move ya Bw. Bitebo imenifurahisha sana.
    Bitebo, kula vichwa vya CCM mwanangu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...