Home
Unlabelled
bitebo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hivi makamu mwenyekiti wa ccm anateuliwa au anachaguliwa?? michuzi
ReplyDeleteHivi wanao twist and turn kwenye vyama wanakua serious au ni basi tu. Ni sera gani za chama ziliwafanya wakimbie mwanzoni na sasa wamekubaliana nazo nakuziona ni nzuri na wameamua kurudi? Au wanatafuta leadership ticket wakiona haiwapeleki popote wanamua kurudi?
ReplyDeleteNaomba nikujibu Anonymous hapo: Mwenyekiti na Makamu mwenyekiti wa CCM wanachaguliwa na Mkutano Mkuu wa Chama(ni term ya Miaka 5) Nafikiri uchaguzi ni mwaka huu Chimwaga.
ReplyDeleteHaya ndo mamabo ya ujanjaujanja yanayoendelea kutuua kwa umaskini kwa kukosa viongozi wenye mwelekeo na uzalendo.
ReplyDeleteBitebo,
ReplyDeleteWateja wako wengi ni kutoka kambi ya upinzani. Sasa umeamua kukimbia CUF na kwenda CCM, utakosa wateja!
Lakini nina imani kwamba umelenga na kuona mbele!
Wapinzani wanaamua kurudi si si em kwa sababu ya kubanwa mbavu na chama tawala kinachowapokea. Chama tawala hakitaki upinzani uwepo nchini. Kilichopo sasa ni kiini macho tu cha mfumo wa vyama vingi.
ReplyDeleteTZ current politics and political systems prohibit develoment. TZS kamwe haototoka ktk umaskini bila kufanyika mapinduzi makubwa ya siasa.
ReplyDeleteNaona kafuata ushauri wako Michuzi. Bahati mbaya hana jina ataishia kubebwa kwenye magari ili kupelekwa kwenye mikutano kujaza idadi ya wakereketwa. Tena mwambie ajitayarishe kubeba mabango wakati wa maandamano ya kujipendekeza kwa hotuba za JK
ReplyDeleteMtoa Maoni wa Thursday, January 11, 2007 9:28:12 PM. Kwa bwana Bitebo haitakuwa mbaya sana kama akibebwa kwenye magari kupelekwa kwenye mikutano kujaza idadi ya wakereketwa, maana anaweza akatumia mwanya huo kama akiwa na vitendea kazi vyake kula vichwa.
ReplyDeleteMfano akiamua kutoa discount kwa wana-CCM wote wanaotaka kunyoa kabla au baada ya mkutano, fikiria atakula vichwa vingapi na kiasi gani cha pesa ataingiza.
Hii move ya Bw. Bitebo imenifurahisha sana.
Bitebo, kula vichwa vya CCM mwanangu.