Home
Unlabelled
bonanza
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Waandishi wa Habari wa Bongo mnaonekani hamkosekani kwenye ma-Bonanza na inaonekana mnashiriki vilivyo kwenye michezo mbalimbali siku kama hii. Basi mngekuwa pia mnashiriki vilivyo katika kuifahamisha jamii kuhusiana na rushwa ilivyo kithiri nchini na matatizo mbalimbali yahusuyo jamii ambayo kila siku hamyaandiki kisa tu mmepewa bia au pesa kidogo na kina Richmonduli na vigogo wengine.
ReplyDeleteNa muache kujipendekeza kwa Kikwete maana kila siku mnamuandika na misifa kibao, hebu angalieni maslahi ya nchi na sio mitumbo yenu.
Michuzi mbona wewe uko soap soap utadhani ulikuwa mgeni mwalikwa wakati na wewe ni mdau. Ina maana huna mchezo wowote ambao una shiriki? Huonekani kama mtu aliyekwenda kwenye bonanza la michezo.
ReplyDeleteMzee wa "KASRI MAKENE" nakuona uki-represent TEXAS??
ReplyDeleteAnyway, have fun and always be real and keep your head up!!
Michuzi yuko sop sop sababu alikuwa anacheza draft na karata
ReplyDeleteBonnny Makene mzee ulipotelea wapi? Nimefurahi kuiona sura yako tena kupitia Michuzi.Sina hakika unaliandikia gazeti gani kati ya mwananchi na free media.Kaza buti,tunakumiss!!
ReplyDeleteahaaa, mtu wangu kijasti upo baba? Ndiapa lepa mpaka tumale ugimbi... Haiwezekani, haiwezekani mpaka tumale ugimbi............
ReplyDeleteAminia babake, kaza mwendo, muda si mrefu tunaanza tena kazi..
Mwambie mzee wa Sumo hilo tumbo anafuga ugonjwa huo.
ReplyDelete