abdallah majura akipigana ndondi yeye mwenyewe baada ya kukosa mpinzani wa mchezo huo leo kwenye bonanza la wanahabari la michezo. alishinda kwa t.k.o.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Michuzi,
    Ina maana mzee wa Sumo masumbwi hayawezi?

    ReplyDelete
  2. Issa mbona umemwachia huyo..naamini ungemmaliza kwa KO

    ReplyDelete
  3. Michuzi rudisha ile topic ya malaya wa bongo wachambuliwe...

    ReplyDelete
  4. Anony...hapo juu ni kweli wanatakiwa wachambuliwe na maovu yao yawekwe wazi ili wapate elimu kwa njia hii maana kwa TV,semina au majarida hawaelewi...

    ReplyDelete
  5. Hebu nielimishe huyu hakupata mtu wa kupigana naye sasa huyo aliyemshinda kwa knock out ni nani au alianguka na kulala chali baada ya Shadow boxing na refa kuweka kati kwamba ni Knock out JAMANI MWE! KUWENI NI HAYA!

    ReplyDelete
  6. Huo uzi wa bongo bwana !
    John

    ReplyDelete
  7. Naona Majula alisahau kupima uzito kwanza kwahiyo wapinzani wakahofia kufia ulingoni.

    ReplyDelete
  8. Naona Mzee wa Kipusa alisahau kupima uzito wapinzani wakahofia kufia ulingoni

    ReplyDelete
  9. Mbona mtu mwenyewe amesinzia

    ReplyDelete
  10. huyo jamaa hajaacha U KJ tu??

    ReplyDelete
  11. SIKU HIZI KUNA MIJEZI KIBAAO YA TIMU YA TAIFA. EVERY FOOL NOW IS COMING WITH HIS OWN VERSION. TFF LAZIMA IINGIE MKATABA W MAAN NA TUWE NA JEZI INAYOELEWEKA, SIO WATU WANAJIFANYIAFANYIA MAMBO TUU. UKIENDA TAIFA UTAONA JEZI KAMA SB HIVI ZOTE WANADAI ZA TAIFA!! QUALITY YAKE IS A SUSPECT..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...