Home
Unlabelled
chabo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mjoma hapo uko kitongoji kiitwacho SOHO.
ReplyDeleteAngalia usiiuziwe juisi ya ukwaju kwa poundi 1000..hapo wajamaa ni wezi sana..Chunga unapokuwa maeneo hayo
michuzi hapo ni SOHO.utapata kila aina ya ....kutoka mataifa yote.Ila kuna jamaa yangu toka pakistan alifika hapo akaambiwa ngoma ya kichina ni£35 kwa nusu saa na alikuwa hana hiyo pesa,basi akatoa ID ya college yake nakuomba student discount.Akapewa dakika 15 tu,kwa £25 pound.Ila akaambiwa "we hapa ni kwa watalii na we ni mwanafunzi huwezi kuafford usije tena".
ReplyDeletekwahiyo michuzi jaribu kuwa wa mataifa kwa kpindi kifupi.
SOHO RED LIGHT STREET... Usije ukakosea ukapiga chabo kwa kina 'george michael'..
ReplyDeleteaah naona mwenyewe umetoka shopingi Lilly whites jezi za paundi mbili mbili, babukubwa!! katese kwa Bitebo.
ReplyDeleteWe mwanaume una vituko sana! Umepitiliza! Ubarikiwe!
ReplyDelete