leo nimetembelea kwenye nanihii za kupiga chabo. jina la kitongoji limenitoka...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. mjoma hapo uko kitongoji kiitwacho SOHO.
    Angalia usiiuziwe juisi ya ukwaju kwa poundi 1000..hapo wajamaa ni wezi sana..Chunga unapokuwa maeneo hayo

    ReplyDelete
  2. michuzi hapo ni SOHO.utapata kila aina ya ....kutoka mataifa yote.Ila kuna jamaa yangu toka pakistan alifika hapo akaambiwa ngoma ya kichina ni£35 kwa nusu saa na alikuwa hana hiyo pesa,basi akatoa ID ya college yake nakuomba student discount.Akapewa dakika 15 tu,kwa £25 pound.Ila akaambiwa "we hapa ni kwa watalii na we ni mwanafunzi huwezi kuafford usije tena".
    kwahiyo michuzi jaribu kuwa wa mataifa kwa kpindi kifupi.

    ReplyDelete
  3. SOHO RED LIGHT STREET... Usije ukakosea ukapiga chabo kwa kina 'george michael'..

    ReplyDelete
  4. aah naona mwenyewe umetoka shopingi Lilly whites jezi za paundi mbili mbili, babukubwa!! katese kwa Bitebo.

    ReplyDelete
  5. We mwanaume una vituko sana! Umepitiliza! Ubarikiwe!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...