waziri mdogo wa mambo ya nje cyril chami akiwa na wadau wa doha. kulia ni anko gratis sakaya anaekula mzigo benki ya standard chartered hapa doha na shoto ni wakili wa kibongo anaefanya kazi doha pia

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Aisee Michuzi hebu ukipata wasaa mwambie Waziri Chami afanye utaratibu wa kuvaa fresh bwana, mambo gani namna hii, suti za kushonesha kwa fundi mtaani noma.

    ReplyDelete
  2. Michuzi mwambie muheshimiwa aache suti zake za fundi mzava. Onaona mabega yanavyodondoka hayo? Inabidi umuonyeshe china town kule unakonunua suti zako za mikemia ili nae ajipendelee kwa sababu suti yake inaleta mzozo. Mabega ya suti hata siku moja hayadondoki mabegani kama shati. Waswazi mnataka mambo ya watu wakati bado mnakalia ushamba na wizi tuuuuuuu.
    Inabidi litolewe darasa la mavazi na maadili ya kazi kwa hawa viongozi maana wanaleta aibu sana kimavazi na kimaadili.

    ReplyDelete
  3. Way to go Sakaya!! Operation Kambarage Ruvu JKT!!

    ReplyDelete
  4. Michuzi ee.. hebu Mwambie Chami bwana suti sio lazima kufunga vifungo.. si amcheki Mzee Gratis Sakaya hapo anavyopendeza. Duh! Aisee Sakaya hebu mpe darasa mzee waziri kidogo apendeze pendeze!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...