Home
Unlabelled
chami
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Aisee Michuzi hebu ukipata wasaa mwambie Waziri Chami afanye utaratibu wa kuvaa fresh bwana, mambo gani namna hii, suti za kushonesha kwa fundi mtaani noma.
ReplyDeleteMichuzi mwambie muheshimiwa aache suti zake za fundi mzava. Onaona mabega yanavyodondoka hayo? Inabidi umuonyeshe china town kule unakonunua suti zako za mikemia ili nae ajipendelee kwa sababu suti yake inaleta mzozo. Mabega ya suti hata siku moja hayadondoki mabegani kama shati. Waswazi mnataka mambo ya watu wakati bado mnakalia ushamba na wizi tuuuuuuu.
ReplyDeleteInabidi litolewe darasa la mavazi na maadili ya kazi kwa hawa viongozi maana wanaleta aibu sana kimavazi na kimaadili.
Way to go Sakaya!! Operation Kambarage Ruvu JKT!!
ReplyDeleteMichuzi ee.. hebu Mwambie Chami bwana suti sio lazima kufunga vifungo.. si amcheki Mzee Gratis Sakaya hapo anavyopendeza. Duh! Aisee Sakaya hebu mpe darasa mzee waziri kidogo apendeze pendeze!!!
ReplyDelete