jk akiwa na kocha mchezaji wa zamani wa simba hassan hafif, pawasa na wadau wengine doha, qatar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. hivi huyo pembeni ya kikwete ni yule mwanaye aliyedai kuibiwa simu??

    ReplyDelete
  2. We anony hapo juu huyo ni Hasan Hafif Yahya.Alitikisa enzi zake alipokuwa kocha mchezaji wa Simba.Hana mnasaba wowote na JK.

    ReplyDelete
  3. mbona tulisikia Hassan naffif alikufa siku nyingi? kule Gaza kwenye mlipuko wa bomu amefufuka lini Michuzi? Eeeh basi duniani kuna mambo siamini macho yangu Haffif yupo hai?

    ReplyDelete
  4. we anony, ninayemuulizia ni huyo wa upande wa kushoto mwa jk,,hafif namfahamu vizuri.

    ReplyDelete
  5. Mwambie JK apunguze safari. Kaanza kupungua mwili sasa.

    ReplyDelete
  6. Michuzi,
    Umenikumbusha mechi ya Simba na Sports Club Villa ya Uganda fainali za Kombe la Afrika Mashariki Na Kati 1990. Tulishinda na Kocha mchezaji alifanya kazi kubwa wakati huo Kibaden akiwa kocha mkuu.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 15, 2011

    hassan afif yuko qatar , sasa nizam ya mtoto wake ni moto wa kuotea mbali anasakwa na vilabu vikubwa barani ulaya ni ALLY HASSAN AFIF nachezea saad sport club ya qatar

    by afif malik

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...