mie na mdau wa anfidi tunataka kupanda dau na mc kenyatta leo lango la jiji, migomigo, dar... mdau wa imarati pamoja na kunikacha ukerewe, upooooo?? una ngapi na wewe???

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Matokeo yatakuwa kama hivi.
    Chelsea 1;Livepool 2.
    MU 0; Arsenal 2.
    Mukitaka majina ya wafungaji nitawaleteeni.

    ReplyDelete
  2. pole na safari michuzi ila kesho lazima mshinde mtusaidie ili gap iwe point tisa. kitu pyaaaaa. wafungaji: Stevie G (MBE) na Dirk Kuyt. Ahsante san Rafa

    ReplyDelete
  3. Matokeo yatakuwa hivi :

    COLTS 24 Patriots 17

    Bengals 14 Saints 21

    ReplyDelete
  4. u neva wok aloni

    kama tulivyoongea, sare au ushindi tunaongea leo.kipigo hatuongei chochote!!

    baadaye basi, mdau wa imarati.

    ReplyDelete
  5. Anony wa 7:26AM ina maana Super Bowl it will be Colts against Saints??? You wish.....Patriots are going back to Super Bowl, sorry Manning and Vinateri; we love you but oh well....

    ReplyDelete
  6. Yap, Patriots kila siku, not this time !!

    ReplyDelete
  7. Ww Maghot kweli unajua utabiri.Japo umekosea kidogo,nashukuru tumeshinda.Naamini utabiri wako kwa hiyo MU walie tu!

    ReplyDelete
  8. Anon wa 6:42 , if the Colts were able to stop Larry Johnson and Jamal Lewis definetely they are going to stop the patriots. For the past two weeks their running defense has been phenomenon. One thing that I can advise you is get your pop corn ready cause it is going to be show ! Tony Dungy and Payton Manning are class kind of guys and they deserve it.

    There is no doughty in mind that Reggie Bush and Mcalister are going to expose the bears overated" porous" defense. Furthermore, Grossman is not a guy to take the bears to the promise land .

    GO COLTS ......Go PAYTON

    ReplyDelete
  9. Michuzi nisaidie kumpata huyo Maghot.Ni mtabiri mzuri kwani aliyoyatabiri yametokea.MU ni vibonde wetu na mtaendelea kuwa vibonde bila kujali tuna kikosi kichanga.Aliyesema ni lazima mdeki hakukosea kwani tumewadekisha.Tunakuja na mkae chonjo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...