Home
Unlabelled
gsb
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi hivi huwa unatumia vigezo gani kusema huku kushoto huku kulia? Nikisoma maelezo yako naona kama vile una maana toka kulia. Duh mshikaji vipi. Wangekuwa rangi moja tu na siwafahamu ningejua Kipingu ni huyo mzungu mrefu. Lahaula hiyo plastic surgery kafanya lini?
ReplyDeletekaka Michu hivi kontrovesi ya TFF na Jacky Pemba ni nini? maana tuliambiwa tapeli lakini tunawaona hawa mabwana wamekuja kweli sasa inakuwaje?
ReplyDeleteMhh kwakweli Jack Pemba nimemkubali siyo tapeli kama Tenga na TFF yake walivyotaka tuamini,naanza kuingiwa na wasiwasi na utendaji wa TFF ya Tenga pia wanaonekana kama wale wale tu sema hawa wanajua kupangilia maneno tofauti na Ndolanga aliyekuwa msema hovyo.Kumleta mmoja kati ya legends wa anfield John Barnes,na kumleta mpachika mabao mahiri wa zamani Les Ferdinand siyo jambo dogo! nakupongezeni GSB nakupongeza sana Jack Pemba!
ReplyDeleteWatalii
ReplyDeleteSasa kaka mbona habari za muhimu unazitoa za wahujumu uchumi tanzania....haya fanya unavyotaka weye baba
ReplyDeletePemba umechanganya, umepataje dili hii.ulikuwa lost sana miaka ya 90 mwanzoni ulipokuwa unaishi upanga karibu nna mfaume
ReplyDeletempepe eliudi
WALISEMA SANA OHH JACK PEMBA TAPELI OHH HAWEZI HANA PESA... . SASA AMEAMUA KUWAONYESHA KUWA ANA NIA HASA YA KUKUZA VIPAJI.
ReplyDeleteVipi Serikali ikianzisha shule ya vipaji vya michezo kama ilivyo Cameroon,Togo,Ghana na Ivory Coast?
ReplyDeleteHapo tutapata ma Scout wanaotumwa na vilabu sio wafanya biashara.Mfano Les na John wana husika nini na gsb?
Tunataka tuone vijana wetu wanaendelea kama akina Drogba,Toures(Kolo &Yaya) Eboue,Zakora, Essien ,Eto na wengine wengi.
jack pemba mwanabibi ajambo huna haya umeambiwa huyo mke wawatu laki usikii hiyo sio sifa tabia mbaya
ReplyDelete