jk akipozi na bodi ya wakurugenzi wa kampuni ya jambo aliyloizindua sasa hivi hapa ukerewe

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Je twaweza kuambiwa majina ya wajumbe wa bodi ya wakurugenzi na mwenyekiti wa kampuni ya Jambo waliopiga picha na Mh.Raisi Kikwet, pia malengo na majukumu ya kuanzisha hiyo kampuni London.

    ReplyDelete
  2. Bila shaka Mwenyekiti wa kampuni hiyo atakuwa Dionis Malinzi.Ndio mjue huyo sio mwenzenu wa MABOX!!!

    ReplyDelete
  3. Mjomba Michu,

    Kwanza ninawapongeza hawa jamaa kwa kuanzisha kampuni wakiwa ughaibuni na naamini ni kwa manufaa ya Watanzania. Ninataka kuwafahamu, pia, uhusiano wao na tovuti ya jambotanzania.net

    ReplyDelete
  4. KWELI KABISA ANONY HAPO JUU, NAKUUNGA MKONO,
    SIO KUTANGAZA KIHOLELA HAPA, HII BLOG NI YA KUHESHIMIKA, TOENI MAELEZO YOTE, MTUFAHAMISHE, KAMA ALIVYOULIZA IPASAVYO NDUGU HAPO JUU

    ReplyDelete
  5. kushoto dio na msela wake jk mama i assume ni balozi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...