Home
Unlabelled
Jambo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Je twaweza kuambiwa majina ya wajumbe wa bodi ya wakurugenzi na mwenyekiti wa kampuni ya Jambo waliopiga picha na Mh.Raisi Kikwet, pia malengo na majukumu ya kuanzisha hiyo kampuni London.
ReplyDeleteBila shaka Mwenyekiti wa kampuni hiyo atakuwa Dionis Malinzi.Ndio mjue huyo sio mwenzenu wa MABOX!!!
ReplyDeleteMjomba Michu,
ReplyDeleteKwanza ninawapongeza hawa jamaa kwa kuanzisha kampuni wakiwa ughaibuni na naamini ni kwa manufaa ya Watanzania. Ninataka kuwafahamu, pia, uhusiano wao na tovuti ya jambotanzania.net
KWELI KABISA ANONY HAPO JUU, NAKUUNGA MKONO,
ReplyDeleteSIO KUTANGAZA KIHOLELA HAPA, HII BLOG NI YA KUHESHIMIKA, TOENI MAELEZO YOTE, MTUFAHAMISHE, KAMA ALIVYOULIZA IPASAVYO NDUGU HAPO JUU
kushoto dio na msela wake jk mama i assume ni balozi
ReplyDelete