endapo utakosa kumtembelea jesse ukiwa hapa ukerewe ujue umekosa mambo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Hello Michu,kwani huyo Jesse yeye ni nani?

    ReplyDelete
  2. Jesse Mwalongo,Baba wa watoto wawili.Papa,The Pimp,Nigga, The Millionaire behind Nono, Mr.Balls mwenyewe...!!!!!!!!!!!Do I need to say more?

    ReplyDelete
  3. I LOVE HIM.KAOA?

    ReplyDelete
  4. Huyo ndio Jesse Malongo aka Mzee wa kazi.

    ReplyDelete
  5. kwahiyo huyu jesse yeye anagawa mambo?? maanake sikunyingi.

    ReplyDelete
  6. Yankee wa Upanga huyo, alivuma sana kama Dj enzi za Clouds Motel Agip miaka ya 80s to 90s, siku anapiga mitaa ya Eastern London, pale Club Afrique, kawaida akianza kupiga miziki yake unaweza kujikuta unacheza zaidi ya masaa mawili! jinsi anavyojua kupangilia vibao vyake!!!

    ReplyDelete
  7. The guy is fine, damn! how tall is he?? 6'2/6'4....Thanks God!

    ReplyDelete
  8. Duh! kapendeza Jesse alikuwa na girlfriend wake Ummy Makame, wakati huo kabla hajaoa. Poa sana huyu kaka enzi zile za clouds, naona akaamua kuwatosa wenzie kina Joseph Kusaga. Hongera kaka we hear you are doing well usitusahau wenzio wa upanga bongoland, au vipi? je unakuja lini kutembea?

    ReplyDelete
  9. Aje kutembea wapi wakati amejilipua hajapata makaratasi kama raia wa kongo au somalia??muombee duu anaweza kupata makaratasi muda siyo mrefu,namuonaga tuuu club afriqueen na nyma choma zake pale na mademu wa kuzugia

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...