Home
Unlabelled
macharanga
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Chalesi Hilari Nkwanga mzee wa Afrikando.Hilo pozi lake kama la mzee wa standard na spidi!
ReplyDeletemwenyewe alikuwa anasema usiniite chalesi,niite chaaaaazi!!ni mtangazaji mkali wa kabumbu.
ReplyDeletechalesi nawe umeisha jipiga kibiriti? kwani we unakubalika kabisa kama wa Kigali.
ReplyDelete"Tishio"...unatisha!!!
ReplyDeleteTuwasiliane!
Much love!!
we saidi john, (wa-pili kulia) mbona hiyo sare ya CCM umeificha ndani ya shati? tumeiona bwana . Kama ulijua unaona aibu kwa nini uliivaa?
ReplyDeletewewe said john huna mpango kabisa unayumbisha watu,kwanza mara wewe ccm mara umejitoa au wewe ni mrundi nini?amua moja bruv usihangaike na maisha,toka lini ccm ikawepo london?hao wengine nao wanabaingaiza njaa tu hawana lolote.
ReplyDeleteLupatu , mtoto karidhi macho!!! Hongera!
ReplyDeleteLupatu, mtoto umemrithisha macho...Hongera!
ReplyDeleteBaab Kubwa!
ReplyDeleteMzee wa Charanga tuwasiliane, japo ulinikimbia kule zenj!
Yote tisa lakini hebu Mzee wa Macharanga tueleze hiyo stail ya uvaaji wa hizo nguo umeitoa wapi????Flana ya mistari, Koti kubwa lililokaa kiaina,Kodrai!!!! Duh hiyo kali kaka, labda Stail hiyo umeipata CUBA nini????? na Mzee anaumwa huko!!!! Pole sana
ReplyDeleteDuh! Jose kaachiwa na polisi? Leo alimsevu. tapeli huyu, lakini umependeza hapo na suti yako. poa
ReplyDeleteSaid John hawezi rudi bongo maana akirudi tu UK ndio kaisahau....hana karatasi..eti CCM YA LONDON sasa mkitakiwa kwenda kwenye vikao bongo utarudije UK?Mwenzako Charles ana paper tayari...Mzee John wa Madina Snack Restaurant alikufa ulishindwa hata kwenda..Noma!!!Babu hukui?
ReplyDeleteWeeeh Mzee wa Macharanga hauna msimamo au mambo yanakuwia magumu mara uko Radio DW mara BBC sasa tukuelewe vipi ??? Kwanini usitulie kama mwenzio Tido Mhando ?? Ona mwenzio katulia pale BBC mpaka Mheshimiwa Kikwete kamuona anafaaa mpaka kampa ukuu wa TUT (Taasisi ya Utangazaji Tanganyika). Nawe unatakiwa utulie sehemu moja labda nawe waweza kukumbukwa kama walivyokumbukwa wenzio akina Betty Mkwasa na watu uliokuwa unafanya nao kazi akina Sarah Dumba, Halima Kiemba n.k. Sasa wewe utaishia kuwaomba lifti tu punde urudipo huku kuwaona wazazi, ndugu na jamaa !!!!!! ACHA HIZO TULIA SEHEMU MOJA BW. CHAAAAAAAAZZZZZZ HILARY !!!! YANATOSHA HAYO KUKUFANYA UJIREKEBISHE
ReplyDelete