julio akishuka toka kwenye limo lake kusimamia mazoezi ya kina les ferdinand neshno leo...yeye ni mkurugenzi mkazi wa gsb bongo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. misupu unajua limo linafanana vipi?limo gani hilo?

    ReplyDelete
  2. Kaka michuzi eti ni kweli huyu Julio ni punga? Kuna kipindi watu walikua wanadai Babu Kaju anapakua mzigo.

    ReplyDelete
  3. mh hiyo ni corolla 110!gari hizo zimeshakua uniform bongo.

    ReplyDelete
  4. kwani nyie hamumjui Michuzi hadi leo? hizo zote zinaitwa tasnifa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...