soko kuu la kariakoo mara lilipofunguliwa miaka ya 70. nadhani mnakumbuka neno kariakoo lilitokana na neno la askari kea wa mwingereza la 'carrier corps' ambapo
wakati wa vita ya pili waliitumia sehemu hii kama depo ya uchukuzi. wamatumbi tukaunganisha na kupaita kariakoo...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Wamatumbi bwana kwa kujitengenezea maneno! Kwiii!

    ReplyDelete
  2. kumbe mr. michuzi nawe ni mmatumbi kaa mie, sikujua kaka !

    ReplyDelete
  3. Naikumbuka hiyo Karikaoo ya 70's baada ya ujenzi na usanifu wa Bw. Beda Amuli. Mambo yamebadilika sana. Ndiyo kukua kwa jiji huko.

    ReplyDelete
  4. Wow, honestly, I did not know that. Thanks, That is soo funny

    ReplyDelete
  5. I've loved to know the protoform of the word 'Kariakoo'

    ReplyDelete
  6. Inasikitisha sana kuona kwamba serikali yetu imeshindwa kutunza mandhari nzuri kama hiyo ya soko la Kariakoo! Wazungu kwao wanaweza, sisi Waafrika tunashidwahe jamani>>>>>>>>>>?????????? Wazungu sio malaika, ila tu wanajali vizazi vijavyo! Sio kama sisi waafrika na viongozi wetu ambao wanaangalia uchaguzi tu!

    Shame on us!

    ReplyDelete
  7. Picha ya juu, Dar na population yake ya sasa milioni nne na upuuzi, na ya chini Dar na population yake ya 200,000 miaka hiyo kukiwa na joto kama la hivi sasa unatoa tandiko unalala nje mpaka asubuhi bila wasi wasi wowote, sasa thubutu ulale nje kama hawajakuchinja. Sharti uwe na kiyoyozi au fan.

    ReplyDelete
  8. Mimi nina ombi kwako michuzi, tupostie picha za Dar ya Zamani. Maeneo mashuhuri ya sasa jinsi yalivyokuwa 70's au 80's. hii ya K/koo iwe ni mwanzo wa picha za minajili hiyo.

    huwa zinastaajabisha sana picha za Dar ya siku nyingi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...